Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Button ipo inakuja juu na maandishi MIKUNDU then unahuuisha taarifa za jinsia ME AU KE
Mkuu kwa maana iyo ukishaweka jinsia hapo unakuwa umemaliza au tunarudi nyuma kudownload fomu no 1 na kuisainisha upya?
 
Wadau naomba msaada wenu katika scenario hii.
Nimejaza form 1 na nimepakuwa hiyo na kujaza wakanitumia namba ya siri kwenye email yangu na link ya kuingilia.
Kilichopo kila nikijaribu kupakia zile form naambiwa invalid username or password.
 
Nadhani rudia mara nyingi itakubali
 
Wadau naomba msaada wenu katika scenario hii.
Nimejaza form 1 na nimepakuwa hiyo na kujaza wakanitumia namba ya siri kwenye email yangu na link ya kuingilia.
Kilichopo kila nikijaribu kupakia zile form naambiwa invalid username or password.
Vip umefanikiwa?

Sent from my LG-H910 using JamiiForums mobile app
 
Hvi wadau kuna mtu humu kafanikiwa kutuma maombi au kumtumia mwingne kwa kutumia cheti cha form four na cha kuzaliwa tu?

Sent from my LG-H910 using JamiiForums mobile app
 
nenda kweny huisha viambatanisho chagua viambatanisho vingine then select file
Shukrani sana mkuu.

Nilikata tamaa mwanzoni, maana niliambiwa Kama mwanzoni hukuambatanisha hicho kiambatanisho kingine ndo basi, kupitia wewe leo nimefanikiwa kuambatanisha cheti changu cha taaluma ya hisabati.

Hakika JF ni babalao.
 
Hivi sensa ya mwaka 2012 , malipo yalikuwa ni kiasi gani , kwa kila posti
Nadhani ilikuwa sh 790000 kwa nafasi ya dodoso refu na 690000 kwa dodoso fupi. Usiniulize juu ya hayo madodoso nitashindwa kukujibu vema mana sikushiriki
 
Namshumuru sir god nimeshatuma maombi yang now nasubiri tu nikawe Ngoswe Rasmi huko kijijn kwetu bt this time akina ngoswe tunaenda kuhonga vishkwambi
Na mazoea utamkuta hukohuko bush

Ila Safari hii baba yake hatakuacha salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…