Realbest
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 812
- 300
Tayari mkuu n8mefanikiwaKuna mtu aliyefanikiwa kuedit maombi akafanikiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari mkuu n8mefanikiwaKuna mtu aliyefanikiwa kuedit maombi akafanikiwa?
Kuanzia tar 23-08-2022kwan hiyo sensa inafanyik mwez gan tarehe zipo nahofu kuomb than ikaw days field imeshafik .. ikaw nimetup md na hela... ??? msaada wadau
Nafikiri ni mvietinam kabisa huyuMkuu unastahili kabisa kwenda vitani Ukraine
ahaa owkk thankssKuanzia tar 23-08-2022
Mkuu kwa maana iyo ukishaweka jinsia hapo unakuwa umemaliza au tunarudi nyuma kudownload fomu no 1 na kuisainisha upya?Button ipo inakuja juu na maandishi MIKUNDU then unahuuisha taarifa za jinsia ME AU KE
😃😃😃😃😃😃😃😃 😃Wabongo wapuuzi sanaView attachment 2223838
poa poa kakaaSensa 23/8 Ila kabla ya hapo kutakua na Seminas pia
Kama weweWabongo wapuuzi sanaView attachment 2223838
Bado hujifunzi kuheshimu waliokuzidi kiakili umetoka kifungoni juzi Kati kwa kubishana na aliyekuzidi akili huku ukitumia akili yako ndogo .Kama wewe
Nadhani rudia mara nyingi itakubaliWadau naomba msaada wenu katika scenario hii.
Nimejaza form 1 na nimepakuwa hiyo na kujaza wakanitumia namba ya siri kwenye email yangu na link ya kuingilia.
Kilichopo kila nikijaribu kupakia zile form naambiwa invalid username or password.
Vip umefanikiwa?Wadau naomba msaada wenu katika scenario hii.
Nimejaza form 1 na nimepakuwa hiyo na kujaza wakanitumia namba ya siri kwenye email yangu na link ya kuingilia.
Kilichopo kila nikijaribu kupakia zile form naambiwa invalid username or password.
Shukrani sana mkuu.nenda kweny huisha viambatanisho chagua viambatanisho vingine then select file
Nadhani ilikuwa sh 790000 kwa nafasi ya dodoso refu na 690000 kwa dodoso fupi. Usiniulize juu ya hayo madodoso nitashindwa kukujibu vema mana sikushirikiHivi sensa ya mwaka 2012 , malipo yalikuwa ni kiasi gani , kwa kila posti
Pole sana ndugu sema ukipata usiende kuwa ngoswe lakin pia tambua kuwa kule halmashauri na manispaaa kuna WAJUMBE.
Na mazoea utamkuta hukohuko bushNamshumuru sir god nimeshatuma maombi yang now nasubiri tu nikawe Ngoswe Rasmi huko kijijn kwetu bt this time akina ngoswe tunaenda kuhonga vishkwambi