Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Uvccm ☘️ kwenye mitihani wanapiga <90 lakini kwenye field wanatia aibu 🥺 kinoma 😂😂
 
Yaani nawaza nachomoka vipi tarehe zikifika mara paap nachaguliwa kuendelea na Dodoso la jamii [emoji1787]


Ngoja tuone
 
Wakifanya hivi watakua wanazingua sana. Huku kwetu kuna watu walishapewa maswali na majibu ya Jaribio la I mpaka la III la jana (Jana nimeona kwa macho yangu, nikabaki nashangaa tu na u-jobless wangu). Hawa wanaonekana wana highest pass marks wakati utendaji wao wa kazi uwandani unatia mashaka.
Me nadhani Wakufunzi wangepewa nafasi ya kufanya sorting out in reference to class sessions. Kwa mfano darasa lina watu 70 ni rahisi kukumbuka. Mkufunzi aje darasani, a-pick waliokua sharp kujibu maswali aliyokua akiuliza mara kwa mara. Lakini kwa kigezo cha ufaulu wataharibu kabisa, watu walipata 100% mitihani yote ya awali lakini mtiti upo kwenye Kishikwambi.
Kumbe hii mitihan ilikuwa inavuja Hv au ndoo maana huku kijijin kuna mtu kapga 99
 
Kwan kujibu maswali ndo uende dodoso la jamii ..???
Unaweza ukawa sharp kujibu maswali yanayoulizwa ila kwenye mitihani na kutumia kishkwambia Ukafeli.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ungesoma tena na ukielewe nilichokiandika Mkuu.

FYI:- Hao walokua wana score 100% ndio hao hao wanachemka uwandani na ndio hao hao wamepigwa chini huku. Wengine tunasonga na Dodoso la Jamii.
 
Back
Top Bottom