Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Uvccm ☘️ kwenye mitihani wanapiga <90 lakini kwenye field wanatia aibu 🥺 kinoma 😂😂
 
Uvccm ☘️ walaaniwe popote walipo
Wasielewe kutumia kishikwambi🙏🙏🙏
 
Yaani nawaza nachomoka vipi tarehe zikifika mara paap nachaguliwa kuendelea na Dodoso la jamii [emoji1787]


Ngoja tuone
 
Kumbe hii mitihan ilikuwa inavuja Hv au ndoo maana huku kijijin kuna mtu kapga 99
 
Kwan kujibu maswali ndo uende dodoso la jamii ..???
Unaweza ukawa sharp kujibu maswali yanayoulizwa ila kwenye mitihani na kutumia kishkwambia Ukafeli.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ungesoma tena na ukielewe nilichokiandika Mkuu.

FYI:- Hao walokua wana score 100% ndio hao hao wanachemka uwandani na ndio hao hao wamepigwa chini huku. Wengine tunasonga na Dodoso la Jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…