jamesmisana
Senior Member
- Dec 8, 2015
- 120
- 159
vijana acheni kulalamika system inawafuatilia muda wowote unaweza wekwa reserve na malipo yako kupungua sababu ya mambo ya hovyo yasiyo ya uzalendo. kua mzalendo kuna maisha baada ya sensa mzee.Malipo yanaukakasi Sana ngoja tuone kufikia kesho
Una maana gani?20k ni ziada ya malipo.
Watu unawaonaje Mkuu wanabid walipwevijana acheni kulalamika system inawafuatilia muda wowote unaweza wekwa reserve na malipo yako kupungua sababu ya mambo ya hovyo yasiyo ya uzalendo. kua mzalendo kuna maisha baada ya sensa mzee.
We kilaza ninivijana acheni kulalamika system inawafuatilia muda wowote unaweza wekwa reserve na malipo yako kupungua sababu ya mambo ya hovyo yasiyo ya uzalendo. kua mzalendo kuna maisha baada ya sensa mzee.
kilaza usiye na uzalendo xmonster wewe araaaaahWe kilaza nini
Sensa si kesho kutwa Sasa na Kuna bado watu hawajalipwa mtaona Kama wataifanya hiyo kazi.kilaza usiye na uzalendo xmonster wewe araaaaah
Ndo temeke mpka sahv watu waliokua duce awajalipwa na ata tablets awajapewa na mikataba wamesain tayarMkuu apo tanga mjini pameoza Sana madogo hawajalipwa stahiki zao kamili wamepewa laki 2 na wanadai laki 2 na 40 ngoja tuone hiyo siku ya sensa kama watu watafanya kazi,langu jicho
Uzalendo upi zaidi ya dhulma kwa madogo zetukilaza usiye na uzalendo xmonster wewe araaaaah
Ilala wasimamizi bado 160k , makarani bado 40kVp Ilala kuna waliolipwa?
Kwan wasimamizi na tehama huwa wanalipwa sh ngapi...?.?Ilala wasimamizi bado 160k , makarani bado 40k
Kwenye mafunzo wasimamizi na tehama wote wanalipwa sawaKwan wasimamizi na tehama huwa wanalipwa sh ngapi...?.?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mbona wanasema wamelipwa nchi nzima? Ila si haba maana hadi sasa wengi washakunja 800K bado wiki ya zoezi lenyewe. Makinda yupo makini.Sensa si kesho kutwa Sasa na Kuna bado watu hawajalipwa mtaona Kama wataifanya hiyo kazi.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Tablets ni ishu ya nchi nzima. Hili zoezi serikali haikujipanga vema.Ndo temeke mpka sahv watu waliokua duce awajalipwa na ata tablets awajapewa na mikataba wamesain tayar
Hapana sio nchi nzima. Kuna baadhi ya maeneo huenda hawajapewa.Tablets ni ishu ya nchi nzima. Hili zoezi serikali haikujipanga vema.
Upo sahihi huku mtaani watu wana makasiriko ukijjmlisha vijana waliokosa ukarani sjui itakuajeIla Serikali kama haikumaliza vile kujipanga juu ya hili jambo. Kesho tunatarajia kuanza zoezi, halafu baadhi ya meneo hawajapewa Tablets mhmh! Halafu wengine hawajalipwa malipo ya semina, ufanisi wa kazi utakuwa mdogo sana kwenye hayo maeneo. Limeibuka jipya la utitiri wa Tozo, wapo walioamua kutokuwa tayari kuhesabiwa. Kazi ipo, sijui itakuaje.
Nilikua nacheki ITV huko mkuranga kati ya makarani 250 zimekuja 60 tu!!Hapana sio nchi nzima. Kuna baadhi ya maeneo huenda hawajapewa.
Inasemekana posho ile ya 5 days ndo baas mtapewa tena 5 days za mwisho. But nafikiri watu wangejua ugumu wa kazi na ujira wake wasingeomba na zoezi lingekosa watu.Ila Serikali kama haikumaliza vile kujipanga juu ya hili jambo. Kesho tunatarajia kuanza zoezi, halafu baadhi ya meneo hawajapewa Tablets mhmh! Halafu wengine hawajalipwa malipo ya semina, ufanisi wa kazi utakuwa mdogo sana kwenye hayo maeneo. Limeibuka jipya la utitiri wa Tozo, wapo walioamua kutokuwa tayari kuhesabiwa. Kazi ipo, sijui itakuaje.