Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Malipo yanaukakasi Sana ngoja tuone kufikia kesho
vijana acheni kulalamika system inawafuatilia muda wowote unaweza wekwa reserve na malipo yako kupungua sababu ya mambo ya hovyo yasiyo ya uzalendo. kua mzalendo kuna maisha baada ya sensa mzee.
 
Watu unawaonaje Mkuu wanabid walipwe
 
Mkuu apo tanga mjini pameoza Sana madogo hawajalipwa stahiki zao kamili wamepewa laki 2 na wanadai laki 2 na 40 ngoja tuone hiyo siku ya sensa kama watu watafanya kazi,langu jicho
Ndo temeke mpka sahv watu waliokua duce awajalipwa na ata tablets awajapewa na mikataba wamesain tayar
 
Ila Serikali kama haikumaliza vile kujipanga juu ya hili jambo. Kesho tunatarajia kuanza zoezi, halafu baadhi ya meneo hawajapewa Tablets mhmh! Halafu wengine hawajalipwa malipo ya semina, ufanisi wa kazi utakuwa mdogo sana kwenye hayo maeneo. Limeibuka jipya la utitiri wa Tozo, wapo walioamua kutokuwa tayari kuhesabiwa. Kazi ipo, sijui itakuaje.
 
Upo sahihi huku mtaani watu wana makasiriko ukijjmlisha vijana waliokosa ukarani sjui itakuaje
 
Ila Serikali kama haikumaliza vile kujipanga juu ya hili jambo. Kesho tunatarajia kuanza zoezi, halafu baadhi ya meneo hawajapewa Tablets mhmh! Halafu wengine hawajalipwa malipo ya semina, ufanisi wa kazi utakuwa mdogo sana kwenye hayo maeneo. Limeibuka jipya la utitiri wa Tozo, wapo walioamua kutokuwa tayari kuhesabiwa. Kazi ipo, sijui itakuaje.
Inasemekana posho ile ya 5 days ndo baas mtapewa tena 5 days za mwisho. But nafikiri watu wangejua ugumu wa kazi na ujira wake wasingeomba na zoezi lingekosa watu.
 
Back
Top Bottom