Serikali ifikirie kuongeza pesa ya vinywaji na chakula walau maisha yasiwe magumu kama mnavyojua maisha yamepanga sana vitu ghali kama wametenga hela ya usafiri wafikirie hilo nalo
Hujui maana ya wazo la mtu,kaa kimyaVunjq mkataba wawekwe watu watu wareserve[emoji16]
Wewe unawezaHujui maana ya wazo la mtu,kaa kimya
Ratiba ya kazi kwenu inaanza saa ngapi?Sensa kwa maendeleo
Watafanya tuSensa si kesho kutwa Sasa na Kuna bado watu hawajalipwa mtaona Kama wataifanya hiyo kazi.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
1.5m
HawakulipwaHapa CBE ni vurugu watu wanadai chao
Au sioMakarani wamenyooka,na online hampo tena *****!!
Huku paka sasa hela ya kuanzia kazi na hela ya semina ya siku ya mwisho hawajatoa sijui shida niniHawakulipwa
Ndo wanachtka makaran wafanyeMakarani wataanza pika data kma washaanza kutisha kwamba kaya 150 hujafikisha ulipwi ikiwa mtu kamaliza Ea yake na kaya hazijafika mtu huyu je atakubali kukatwa