Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Vunjq mkataba wawekwe watu watu wareserve😁
Serikali ifikirie kuongeza pesa ya vinywaji na chakula walau maisha yasiwe magumu kama mnavyojua maisha yamepanga sana vitu ghali kama wametenga hela ya usafiri wafikirie hilo nalo
 
Maswali ya sensa ni mengi Sana na wanakaya wengi wanachoshwa na utitiri wa maswali saivi wahusika wakuu wanawatisha makarani kaya 150 zisipofika hela hawapewi ikiwa baadhi ya Ea hazifiki hizo kaya zinaishia 70 to 100 alafu kaya za mjini zimeshona watu nyumba moja ina kaya 8 alafu kila kaya ina wanakaya 6 hadi 8 na utitiri wa maswali yale apo bado karani hajakutana na visoi wasotaka kuhesbiwa na wajeuri
 
Back
Top Bottom