Kwaiyo hakuna anayedai tena?Mbeya wako vizuri kila kituo malipo yamekamilika
Mkuu huku songea manispaa kila kitu tayar, watu tushakula 1.3M , leo matumiziAmbao washapewa stahiki zao zote za mwisho walete mrejesho apa
Leta habari kamili mkuu
Mm mwenyewe nilikuwepo ila mm nilitoka saa 6
Mlilipwa?Mm mwenyewe nilikuwepo ila mm nilitoka saa 6
Ndyo ila wao walikua hawataki kutoa elfu 40 eti mpaka wiki ijayo watu wakagomaMlilipwa?
YapKwaiyo hakuna anayedai tena?
Sijaelewa hivi Hii elfu 40,000 ni ya Nini?Ndyo ila wao walikua hawataki kutoa elfu 40 eti mpaka wiki ijayo watu wakagoma
Semina siku 16 ×40000Sijaelewa hivi Hii elfu 40,000 ni ya Nini?
Sisi tumefanya semina Siku 19 ambayo ni 760 na imelipwa yoteSemina siku 16 ×40000
Kumbe Hela huwa wanakua nazo ila wanabana tuNdyo ila wao walikua hawataki kutoa elfu 40 eti mpaka wiki ijayo watu wakagoma
Viongozi wanazungushia mkuu kwenye mabenki ndo maana zinachelewa.Kumbe Hela huwa wanakua nazo ila wanabana tu
340,000 na ya ukaguzi wa MipakaMbona mkoa wa Mara hapa wilaya ya Tarime hatujamaliziwa zile 300,000/= zilizobaki kwenye mkataba na wapo kimya....???
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Labda watakuwa wanazungushia Benki wapate kwanza faida Yani sijui kwann Hawa viongozi wanafanya hivi...??Wilaya ya ikungi nao mpka sasa hawajalipwa mkurugenz kakausha tuu
Mkuu hiyo 40000 ya ukaguzi wa mipaka mbona kwenye mkataba haipo au ipo kivyake..????340,000 na ya ukaguzi wa Mipaka
Mkurya unashindwa kuwa mkali kudai haki yakoMkuu hiyo 40000 ya ukaguzi wa mipaka mbona kwenye mkataba haipo au ipo kivyake..????
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mwili wote ni wa serikali isipokuwa roho jombaaa mwambie ajaribu aoneMkurya unashindwa kuwa mkali kudai haki yako
Tata mura hujui kutumia mapanga
Vip mkuu unamtishia nani Tena hapa...???[emoji15][emoji15]Mwili wote ni wa serikali isipokuwa roho jombaaa mwambie ajaribu aone