Yan usaili ndo unafanyikaje?Ndio
Barua inayotoka kwa PASTOR inayoonehsa kama unatoa sadaka au laMwenye kuelewa seheme ilipoandikwa barua ya mwajiri ndio barua gani hiyo msaada
View attachment 2226966
Hili limekuja ata kwa watu niliowatumia maombi yani form no 1 naziona pale zipo ila Maombi yanaonyesha yanasubiri form no1.sasa nashindwa kuelewa ni system yao au ni vipi wakati nilishapakia form no1 ktambo tu.Wakuu habarini za mchana, naombeni msaada,, katika maombi ya kazi ya sensa nimejaza Kila kitu lakini bado naambiwa maombi hayajakamilika form namba 1 iliyosainiwa haijawekwa . Wakati huohuo form hiyo iliyosaniwa nimeweka inaonekana kabisa.. nisaidieni tafadhari
Lakin pia mm toka Jana nkifungua akaunt yangu nakutana na message kubwa rangi ya kijan ikinipongeza kuwa maombi yangu yamepokelewaKwenye ile account yako uliongia na password wanakwambia maombi yametumwa pale kwenye info zako
lazma wafike 1MLakin pia mm toka Jana nkifungua akaunt yangu nakutana na message kubwa rangi ya kijan ikinipongeza kuwa maombi yangu yamepokelewa
Sipati picha mchujo wake utakuwaje mana waombaji wengi sanalazma wafike 1MView attachment 2227050View attachment 2227051
Hivi ukimaliza form unatoa copy kisha unapeleka mahali au unakomaanayo tuKwa wale ambao walivijaza wakati wanajaza taarifa ila kwa bahati mbaya wakakosea,mfano akaweka kiambata mahali ambapo si pake
Mkuu kuna shida kidogo baada ya kuatach form copy unapeleka mahali?Namba zao za simu nazipataje mkuu,unaweza ntumia ?
Angalia hapo juu upande wa kulia pameandikwa maombi yako yametumwaMaana sijapata taarifa au notification yoyote ile, ila account inaonyesha hivii
View attachment 2226693
Mungu Ni mwema Sote Ni watafutaji tufike tu hiyo idadilazma wafike 1MView attachment 2227050View attachment 2227051
Peleka kwa mtendaji kata kwa kumbukumbuHivi ukimaliza form unakaanayo au unapeleka mahali?
Kwahyo hapo tayari nishatuma maombiAngalia hapo juu upande wa kulia pameandikwa maombi yako yametumwa
Wataalam toeni maelekezo hapaWakuu habarini za mchana, naombeni msaada,, katika maombi ya kazi ya sensa nimejaza Kila kitu lakini bado naambiwa maombi hayajakamilika form namba 1 iliyosainiwa haijawekwa . Wakati huohuo form hiyo iliyosaniwa nimeweka inaonekana kabisa.. nisaidieni tafadhari
Wakiiba Vishikwambi utawakamata wapi?WEKENI NI NAFASI ZA WASIO NA AJIRA KABISA...