Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mwenye kuelewa seheme ilipoandikwa barua ya mwajiri ndio barua gani hiyo msaada

Screenshot_20220514-184121_Chrome.jpg
 
Wakuu habarini za mchana, naombeni msaada,, katika maombi ya kazi ya sensa nimejaza Kila kitu lakini bado naambiwa maombi hayajakamilika form namba 1 iliyosainiwa haijawekwa . Wakati huohuo form hiyo iliyosaniwa nimeweka inaonekana kabisa.. nisaidieni tafadhari
Hili limekuja ata kwa watu niliowatumia maombi yani form no 1 naziona pale zipo ila Maombi yanaonyesha yanasubiri form no1.sasa nashindwa kuelewa ni system yao au ni vipi wakati nilishapakia form no1 ktambo tu.
 
Nimekamilisha had form ninayo ila sijapata SMS ya kuverify na kupakia fomr
 
Kwa wale ambao walivijaza wakati wanajaza taarifa ila kwa bahati mbaya wakakosea,mfano akaweka kiambata mahali ambapo si pake
Hivi ukimaliza form unatoa copy kisha unapeleka mahali au unakomaanayo tu
 
Wakuu habarini za mchana, naombeni msaada,, katika maombi ya kazi ya sensa nimejaza Kila kitu lakini bado naambiwa maombi hayajakamilika form namba 1 iliyosainiwa haijawekwa . Wakati huohuo form hiyo iliyosaniwa nimeweka inaonekana kabisa.. nisaidieni tafadhari
Wataalam toeni maelekezo hapa
 
Back
Top Bottom