Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

[emoji120]
 
Jamani hivi hawa makarani na wasimamizi wanahitajika wangapi? Nombeni mnifahamishe hasahasa Hawa wasimamizi
 
This is blanda eti Elimu form four na kuendelea upuuz flani yaani
 
Mbona tangazo limechelewa sana..huku mtaani kwetu vijana walishapeleka Maombi since last week Kama sikosei
 
wakuu nilijaribu kumsaidia mtu kumtumia maombi, sasa nikakosea email naona nitashindwa kupata zile password na username, nimejaribu kuwapigia nbs naona namba inatumika toka kulipokucha na nikiwapata hawapokei simu.
nifanye nini niweze kupata hizo username mana hata email niliyoandika ni invalid?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…