DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Huyo unamjua?Hili ni kosa la kisheria na mtu anaweza kufungwa na hata kimaadili haijakaa poa .Ni vyema kupiga na kukemea kongole kwa kuona mdau
Alafu nadhan wataongeza muda hawa jamaatulioomba mwanzoni baada ya kuhuisha taarifa ya jinsia wanasema " maombi yanasubiri form no 1" ila fomu namba moja ipo nahisi washatuengua kiaina
Na iwe hivoAlafu nadhan wataongeza muda hawa jamaa
mpaka leo tunaelekea kufunga dirisha wamefika laki 7Kuna uwezekano mkubwa wa idadi ya waombaj kufika milion
Sidhani mpka muda huu hawajasema chochote me nmehangaika tangu siku ya kwanza, leo nmejarib ndo wanantumia form saa10 jion, so sikuwa na jambo la kufanya maana haijasainiwa hatampaka leo tunaelekea kufunga dirisha wamefika laki 7
Wewe mhaya una tabu kweliWakuu nipo kwa mteendaji kiukweli Mambo sio marahisi wajombaView attachment 2230648
Ebu saini tu then mpe mjumbe wa mtaa au Mwenyekiti akusainie Mkuu muda Bado masaa 03Sidhani mpka muda huu hawajasema chochote me nmehangaika tangu siku ya kwanza, leo nmejarib ndo wanantumia form saa10 jion, so sikuwa na jambo la kufanya maana haijasainiwa hata
Laki tano Ni wale form four so wakikatwa form four wakabaki six na chuo hapo watakuwa Kama 200k+mpaka leo tunaelekea kufunga dirisha wamefika laki 7
Maombi yako yamekamilika mzee?Laki tano Ni wale form four so wakikatwa form four wakabaki six na chuo hapo watakuwa Kama 200k+
Mtu ana mapicha ya kueditiwa kama demu alafu unategemea awe na akiliAngekuwa Baba yako ungafurahia?? Wakati mwingine tumieni busara, hata kama mnatokea vijijini.
Nana huyo wa kumkata form fourLaki tano Ni wale form four so wakikatwa form four wakabaki six na chuo hapo watakuwa Kama 200k+
Idadi ni 200500.Hata haijulikani idadi ya watu inayohitajika😅😅
Watu watulie mamlaka zifanye kazi zake.Nana huyo wa kumkata form four
Kwan wew wajumbe hawakujui?Usaili unaweza kupita kimjuano
Saivi kujuana sio inshu, inshu unatoa tembo wangapi?Kwan wew wajumbe hawakujui?