Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

tulioomba mwanzoni baada ya kuhuisha taarifa ya jinsia wanasema " maombi yanasubiri form no 1" ila fomu namba moja ipo nahisi washatuengua kiaina
 
Sidhani mpka muda huu hawajasema chochote me nmehangaika tangu siku ya kwanza, leo nmejarib ndo wanantumia form saa10 jion, so sikuwa na jambo la kufanya maana haijasainiwa hata
Ebu saini tu then mpe mjumbe wa mtaa au Mwenyekiti akusainie Mkuu muda Bado masaa 03
 
Kumbe deadline
Capture%2B_2022-05-20-06-24-47.jpg
 
Back
Top Bottom