Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Mkuu umezingua sana, unatoaje 10k kwa ajili ya maombi wakati Simu tu ilikuwa inamaliza.. kazi zenyewe probability
Una report kwa Harmonize aite Jeshi lake watoe msaada wa Haraka.

Kwa kifupi kwangu elfu 10 niliyotoa kwa ajili ya.maombi ya kazi inatosha sana
 
Mkuu umezingua sana, unatoaje 10k kwa ajili ya maombi wakati Simu tu ilikuwa inamaliza.. kazi zenyewe probability
Watu wa stationery kwenye huduma hizi wanawapiga watu kweli hata kuomba mkopo chuo mtu amekufanyia bei ndogo ni elfu ishirini wkt gharama za kiuhalisia ukienda kimahesabu haivuki elfu tano ..
 
Mkuu umezingua sana, unatoaje 10k kwa ajili ya maombi wakati Simu tu ilikuwa inamaliza.. kazi zenyewe probability
Mkuu nime apply mwishoni sana, yani jana saa saba mchana nikamaliza saa 10 jioni.

I was fast and Furious nisingeweza kutumia simu.
Kazingua sana itakuwa yupo kijijini
ulieko mjini ndio unafanya ujinga wa kupost picha za watu mitandaoni without prior permission?

unazingua sana we nshomile
 
Tetesi nikwamba form four wote wataliwa vichwa watachukuliwa form six na degree na umri watachukuwa 23 yrs hadi 35 tu hizi nimepewa na mtu wangu wa NBS
Poa tu...kwani lazima
 
Hahahaha bado sijastaafu mkuu ,nilikuwa namaanisha kwa hawa ambao hata kutuma maombi hawawezi wasijisumbue kwenye usahili hawatoboi
Hivi kama WEO ,VEO wamesema wasishiriki hawa wenye ajira kama waalimu itakuwaje hawatawabadilikia hapo kiongozi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…