euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,811
- 4,178
Hv ukitoa hao tembo alafu Jamaa wakala kichwa unafanyaje?Saivi kujuana sio inshu, inshu unatoa tembo wangapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv ukitoa hao tembo alafu Jamaa wakala kichwa unafanyaje?Saivi kujuana sio inshu, inshu unatoa tembo wangapi?
Una report kwa Harmonize aite Jeshi lake watoe msaada wa Haraka.Hv ukitoa hao tembo alafu Jamaa wakala kichwa unafanyaje?
Una report kwa Harmonize aite Jeshi lake watoe msaada wa Haraka.
Kwa kifupi kwangu elfu 10 niliyotoa kwa ajili ya.maombi ya kazi inatosha sana
Mkuu umezingua sana, unatoaje 10k kwa ajili ya maombi wakati Simu tu ilikuwa inamaliza.. kazi zenyewe probabilitya
Watu wa stationery kwenye huduma hizi wanawapiga watu kweli hata kuomba mkopo chuo mtu amekufanyia bei ndogo ni elfu ishirini wkt gharama za kiuhalisia ukienda kimahesabu haivuki elfu tano ..Mkuu umezingua sana, unatoaje 10k kwa ajili ya maombi wakati Simu tu ilikuwa inamaliza.. kazi zenyewe probability
Mkuu nime apply mwishoni sana, yani jana saa saba mchana nikamaliza saa 10 jioni.Mkuu umezingua sana, unatoaje 10k kwa ajili ya maombi wakati Simu tu ilikuwa inamaliza.. kazi zenyewe probability
ulieko mjini ndio unafanya ujinga wa kupost picha za watu mitandaoni without prior permission?Kazingua sana itakuwa yupo kijijini
Hahahaha bado sijastaafu mkuu ,nilikuwa namaanisha kwa hawa ambao hata kutuma maombi hawawezi wasijisumbue kwenye usahili hawatoboiMtendaji mstaafu hapo sijaelewa statement yako ulivyoiweka.. ulivyoandika yaani unamaanisha
Ipo tena panel nzuri tu kama za pale utumishiKumbe Kuna interview [emoji855][emoji855]
Hapo nawasiwasi wataliwa wenye ajira alafu hao 4m4 na waliojiajiri wayachinjiwa huku kwenye usailiLaki tano Ni wale form four so wakikatwa form four wakabaki six na chuo hapo watakuwa Kama 200k+
Mkuu kuna vijitu vina connection za hatari vitapata hata kamahavijui tumia smartHahahaha bado sijastaafu mkuu ,nilikuwa namaanisha kwa hawa ambao hata kutuma maombi hawawezi wasijisumbue kwenye usahili hawatoboi
huu ndo uhalisia sasaMkuu kuna vijitu vina connection za hatari vitapata hata kamahavijui tumia smart
Yaani ufanyishe watu usahili kwa kazi ya siku mbili huu si upuuzi sasa.Uchambuzi wa maombiView attachment 2232014
Ukaalishe mtu na bahasha toka ahsubuhi mpaka jioni, hata kama ajira hazipo siyo kwa kuchoshana hiviYaani ufanyishe watu usahili kwa kazi ya siku mbili huu si upuuzi sasa.
Poa tu...kwani lazimaTetesi nikwamba form four wote wataliwa vichwa watachukuliwa form six na degree na umri watachukuwa 23 yrs hadi 35 tu hizi nimepewa na mtu wangu wa NBS
Hivi kama WEO ,VEO wamesema wasishiriki hawa wenye ajira kama waalimu itakuwaje hawatawabadilikia hapo kiongozi ?Hahahaha bado sijastaafu mkuu ,nilikuwa namaanisha kwa hawa ambao hata kutuma maombi hawawezi wasijisumbue kwenye usahili hawatoboi
we ulitakaje au unataka wafanye random selection ukkatwa kchwa utakubali?Yaani ufanyishe watu usahili kwa kazi ya siku mbili huu si upuuzi sasa.