Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Wastani wa nafasi moja kugombewa na watu watatu.

Sio mbaya acha tusikilizie huu mtanange
 
Nikipata dili la sensa....

Naweka laki 3 pembeni nanunua mashine ya umwagiliaji[emoji19]

eeh Mwenyezi Mungu nisaidie nitoboe maana mtanange ni mkali sana
Kwani hela yenyewe sh ngapi hadi utenge laki 3 hiyo?
 
Duuh
Your browser is not able to display this video.
 
Serikali ina mamikono marefu mkuu usidhani wana kamkono kamoja kama hako kako
Kwa hiyo unataka kusema nini? Ajira za siku mbili hizi watu wapoteze muda kwenye usahili NBS pitisheni panga hukohuko iwe sadakalawe.
 
😂
 
Haki laki mbili hawaitajiki watapunguzwa tena
 
Well said mkuu
 
Nikipata dili la sensa....

Naweka laki 3 pembeni nanunua mashine ya umwagiliaji[emoji19]

eeh Mwenyezi Mungu nisaidie nitoboe maana mtanange ni mkali sana
Yani unaweza kuta siku ukiweka wazo la starehe dili huwa zinatiki mapema sana. Ila ukiwek mipango.mizuri dili huwa na longolongo hata kama likitiki, hela mnacheleweshewa kulipwa na mambo mengine..

Mungu awape wepesi wapambanaji wote
 
Hahahaha bado sijastaafu mkuu ,nilikuwa namaanisha kwa hawa ambao hata kutuma maombi hawawezi wasijisumbue kwenye usahili hawatoboi
Usaili utakuwaje kwani.
Nakumbuka niliwahi kufanya interview kwa typing speed. Acha tu, jasho lilitoka siku hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…