Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

wadau mbona ukiingia kwenye account ya nbs bado inafunguka hilihari mda wa kutuma maombi ushapita
 
embu kila mtu afanye kuangalia viambatanisho vyake kama vp sahihi..kwasababu mimi leo nimeingia tena nacheki cheti cha form 4 hakuna kitu naletewa pdf ya form iliyosainiwa. akati mwanzoni before deadline kilikua kipo tu.
Au ndo system imepata mawenge
 
Dah kweli, mi naona zinakuja form tu
 
Mambo ya connection yapo palepale. Ila kwa kuwa nafasi ni nyingi, wapo wengi watakaopenya bila connection.

Ila wangewachukua tuu wote wasio na ajira walau wapate mitaji
500k ukiwa unaipata na Huna hata wqzo la biashara ni tone la maji jangwani. Haswa kwa wakazi wa Tabata
 
embu kila mtu afanye kuangalia viambatanisho vyake kama vp sahihi..kwasababu mimi leo nimeingia tena nacheki cheti cha form 4 hakuna kitu naletewa pdf ya form iliyosainiwa. akati mwanzoni before deadline kilikua kipo tu.
Au ndo system imepata mawenge
Mi nmechek Mda huu zko sawa kabisa ngoja niendeleee kuomba wasje weka vikwazo vyao vya kutengeneza,hii ndo bongo ya manadiriko Hadi kwenye akaunti za watu
 
Vikwazo vya kutengeneza utasikia huku certify vyeti
 
vigezo vya izo kaz ulipitia vizuri kweli? leta h
ushahida kwamba kunasehem wamesema watu wa certify vyet....achen kutisha watu
 
Me nimemuelewa jamaa kachukuliwa kama Assumption sioni kama karecommend akuwa Iko hvyo...
We Subiri mambo yatoke but issue za kucertify vyeti Iko Kila Mahalia kwenye issues za kuomba kazi hata kama wasiseme kwenye tangazo but sie wabongo hz Mishe kwetu Zinakuwa ngumu sana na kama wakifanya hvyo basi watakatwa wengi mno
 
Yaani kazi ya wiki moja uende kucertiy vyeti? Kama wangehitaji basi ingekuwa ni moja ya maelekezo yao, kumbukeni kwamba hizi sio ajira kama wengi mnavyoaminishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…