g vizy
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 922
- 1,028
Sasa wakipewa graduates huku vijijin hao graduates wanatokea wapi,walipoona michongo ya ajira haisomeki wote wamekimbilia mjiniHizi kazi wapewe graduate tu, na wanatosha kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wakipewa graduates huku vijijin hao graduates wanatokea wapi,walipoona michongo ya ajira haisomeki wote wamekimbilia mjiniHizi kazi wapewe graduate tu, na wanatosha kabisa.
Shombe shombe, nasikia majina ya sensa au tunalishwa vitango pori
Kuhusu majina mkuu usipate taabu, mkeka ukitoka utaonekana live hapa www.nbs.go.tz tofauti na hapo basi huo ni ulozi tu kama ulozi ule wa Makolo kule South Africa 😁😁Shombe shombe, nasikia majina ya sensa au tunalishwa vitango pori
Na inaweza badilisha picture to pdfYah afuate muongozo
Graduate kubaki bush jau wengi wamesepa mjini [emoji2]Sasa wakipewa graduates huku vijijin hao graduates wanatokea wapi,walipoona michongo ya ajira haisomeki wote wamekimbilia mjini
Hapo akuna kitu, miyayushomakee, kwa hiyo mchakato wanafanya watu wa kata na sio nbs
yaleyale tu mmkeHapo akuna kitu, miyayusho
yaleyale tu mmke
Nadhani ndo maana walisema ukishatuma maombi ile fomu yako uipeleke ofisi ya kata yakoKwani maombi si yalitumwa mojakwamoja NBS.. Sasa wanasemaje yanaendelea huko ofisi za kata...? Kwanza ofisi za kata gani, hizi zisizo na umeme Wala desktop Wala printer [emoji2774] kumbe hawa NBS ni wasenge sana. Huu mfumo wa kielectronic walileta wa nn... fala sana hizi nbs
Tena ni crocodio madonna kabisa, then si unaona hata ile figure ya jana imeogezeka sio ile waliosema baada ya kifunga system yaoKwani maombi si yalitumwa mojakwamoja NBS.. Sasa wanasemaje yanaendelea huko ofisi za kata...? Kwanza ofisi za kata gani, hizi zisizo na umeme Wala desktop Wala printer [emoji2774] kumbe hawa NBS ni wasenge sana. Huu mfumo wa kielectronic walileta wa nn... fala sana hizi nbs
Na huko ndiko connection za ajabu zilipo tushapigwa na kitu kizito kichwaniKwani maombi si yalitumwa mojakwamoja NBS.. Sasa wanasemaje yanaendelea huko ofisi za kata...? Kwanza ofisi za kata gani, hizi zisizo na umeme Wala desktop Wala printer [emoji2774] kumbe hawa NBS ni wasenge sana. Huu mfumo wa kielectronic walileta wa nn... fala sana hizi nbs
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Apo tushapigwa na kitu heavy
[emoji120] sema kama ipo ipo tuHapo akuna kitu, miyayusho
Muibukie mtendaji wako ujifanye kama ulisahau cheti kwenye ile bahasha ya copy mmalizane mapema ili mambo yasiwe mengi. Ndo issue inayoendelea chini kwa chini. That's how we do in my hood. Tokea juzi ni mwendo wa 50k kila kichwa uwekwe kwenye orodha ya makada watiifu wa kata[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni mda sasa mtendaji kuwatafuta watu wa ukoo wake
[emoji16][emoji28][emoji1787][emoji1787] punguza makasiriko kijanaKwani maombi si yalitumwa mojakwamoja NBS.. Sasa wanasemaje yanaendelea huko ofisi za kata...? Kwanza ofisi za kata gani, hizi zisizo na umeme Wala desktop Wala printer [emoji2774] kumbe hawa NBS ni wasenge sana. Huu mfumo wa kielectronic walileta wa nn... fala sana hizi nbs