Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

makee, kwa hiyo mchakato wanafanya watu wa kata na sio nbs
 
Kwani maombi si yalitumwa mojakwamoja NBS.. Sasa wanasemaje yanaendelea huko ofisi za kata...? Kwanza ofisi za kata gani, hizi zisizo na umeme Wala desktop Wala printer 🖨️ kumbe hawa NBS ni wasenge sana. Huu mfumo wa kielectronic walileta wa nn... fala sana hizi nbs
yaleyale tu mmke
 
Nadhani ndo maana walisema ukishatuma maombi ile fomu yako uipeleke ofisi ya kata yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena ni crocodio madonna kabisa, then si unaona hata ile figure ya jana imeogezeka sio ile waliosema baada ya kifunga system yao
 
Na huko ndiko connection za ajabu zilipo tushapigwa na kitu kizito kichwani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ni mda sasa mtendaji kuwatafuta watu wa ukoo wake
Muibukie mtendaji wako ujifanye kama ulisahau cheti kwenye ile bahasha ya copy mmalizane mapema ili mambo yasiwe mengi. Ndo issue inayoendelea chini kwa chini. That's how we do in my hood. Tokea juzi ni mwendo wa 50k kila kichwa uwekwe kwenye orodha ya makada watiifu wa kata
 
[emoji16][emoji28][emoji1787][emoji1787] punguza makasiriko kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…