Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Huu uzi kila nikifungua jukwaa naukuta hupo juu[emoji3][emoji3][emoji3] unaweza sema NBS ndio wapo humu
 
Ramli mpya :Nimepata uzi haufiki page ya 100 lazima mkeka utoke kama una bisha nipe mkono tushindane.
 
Kwanza nikipata hiyo hela
Laki mbili nanunulia sabufa
Laki tatu godoro, elfu 90 nalipia chumba miez 3
Inabaki laki 4 na 10, natoa laki mbili na nusu naanzisha biashara ya kuuza makoti
Inabaki laki 2 na 60 naweka akiba kwa siku nakula buku mbili tu na sitaki demu
 
Ushaipigia mahesabu tayari
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Ndugu zangu, zoezi la uhamasishaji mikoani soon linaanza rasmi, kama upo dodoma anza kupita Hq pale upate hii kazi ya kusambaza vipeperushi.. Posho ni nzuri pia.[emoji120]
Mkuu mbna vipererushi naona vipo vingi adi kwenye daladala au ni vingine [emoji1663]
 
Hahaha kwani wanalipa sh ngap?
 
Mkuu kununua sabufa ya laki mbili matumiza mabaya ya Hela daka aboder ya 70 mpka laki inatosha laki inayobaki iweke kwenye biashara iwe laki tatu na nusu au iweke kwenye akiba iwe ya msosi
 
Usahili unaweza ukawepo baada ya Mafunzo.
Yale yanayofanyika baada ya mafunzo sio usaili, ile ni kama tathimini ya kile ulichojifunza. Na huwa hakuna karani wala msimamizi ambaye huwa anashindwa kujibu kile walichojifunza watu punguzeni hofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…