Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Bado watu mna wasiwasi wa bure tuSo makarani ndo wamewpotezea mkuu ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado watu mna wasiwasi wa bure tuSo makarani ndo wamewpotezea mkuu ??
Ushaipigia mahesabu tayariKwanza nikipata hiyo hela
Laki mbili nanunulia sabufa
Laki tatu godoro, elfu 90 nalipia chumba miez 3
Inabaki laki 4 na 10, natoa laki mbili na nusu naanzisha biashara ya kuuza makoti
Inabaki laki 2 na 60 naweka akiba kwa siku nakula buku mbili tu na sitaki demu
[emoji1787][emoji1787]Kwanza nikipata hiyo hela
Laki mbili nanunulia sabufa
Laki tatu godoro, elfu 90 nalipia chumba miez 3
Inabaki laki 4 na 10, natoa laki mbili na nusu naanzisha biashara ya kuuza makoti
Inabaki laki 2 na 60 naweka akiba kwa siku nakula buku mbili tu na sitaki demu
Mkuu mbna vipererushi naona vipo vingi adi kwenye daladala au ni vingine [emoji1663]Ndugu zangu, zoezi la uhamasishaji mikoani soon linaanza rasmi, kama upo dodoma anza kupita Hq pale upate hii kazi ya kusambaza vipeperushi.. Posho ni nzuri pia.[emoji120]
Hahaha kwani wanalipa sh ngap?Kwanza nikipata hiyo hela
Laki mbili nanunulia sabufa
Laki tatu godoro, elfu 90 nalipia chumba miez 3
Inabaki laki 4 na 10, natoa laki mbili na nusu naanzisha biashara ya kuuza makoti
Inabaki laki 2 na 60 naweka akiba kwa siku nakula buku mbili tu na sitaki demu
Mmh kumbe hii issue ni utajiri kbx yan mtu anaanzisha maisha rasmi[emoji848]Hahaha kwani wanalipa sh ngap?
Unaonekana umeahidiwa kuingia kimagumashi ila pole usaili hautakuwepoHaiwezekaniiiiii
Mkuu kununua sabufa ya laki mbili matumiza mabaya ya Hela daka aboder ya 70 mpka laki inatosha laki inayobaki iweke kwenye biashara iwe laki tatu na nusu au iweke kwenye akiba iwe ya msosiKwanza nikipata hiyo hela
Laki mbili nanunulia sabufa
Laki tatu godoro, elfu 90 nalipia chumba miez 3
Inabaki laki 4 na 10, natoa laki mbili na nusu naanzisha biashara ya kuuza makoti
Inabaki laki 2 na 60 naweka akiba kwa siku nakula buku mbili tu na sitaki demu
Kwa hesabu za jamaa hapo ni million mkuuHahaha kwani wanalipa sh ngap?
ni laki 8 trust meKwa hesabu za jamaa hapo ni million mkuu
Nani kakwambia hakuna usaili ? juu uzi kila mtu anatunga tunga tu[emoji849]Unaonekana umeahidiwa kuingia kimagumashi ila pole usaili hautakuwepo
Kwa huu muda uliobaki lolote linaweza kutokea usikariri kuhusu usaili.Nani kakwambia hakuna usaili ? juu uzi kila mtu anatunga tunga tu[emoji849]
Mzigo utakuwa wa kutosha maana siku za kazi + siku za mafunzo, hiyo pesa sio ndogo kibongo bongo.Mmh kumbe hii issue ni utajiri kbx yan mtu anaanzisha maisha rasmi[emoji848]
Usahili unaweza ukawepo baada ya Mafunzo.Kwa huu muda uliobaki lolote linaweza kutokea usikariri kuhusu usaili.
Yale yanayofanyika baada ya mafunzo sio usaili, ile ni kama tathimini ya kile ulichojifunza. Na huwa hakuna karani wala msimamizi ambaye huwa anashindwa kujibu kile walichojifunza watu punguzeni hofu.Usahili unaweza ukawepo baada ya Mafunzo.