Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Yale yanayofanyika baada ya mafunzo sio usaili, ile ni kama tathimini ya kile ulichojifunza. Na huwa hakuna karani wala msimamizi ambaye huwa anashindwa kujibu kile walichojifunza watu punguzeni hofu.
Mkuu sasa watu wanaotakiwa ni laki 2 walioomba ni laki 5+++, unataka uniambie watawakata wote wabaki laki 2?
 
Mkuu sasa watu wanaotakiwa ni laki 2 walioomba ni laki 5+++, unataka uniambie watawakata wote wabaki laki 2?
Kwa muda uliobaki ni ngumu sana usaili kuwepo, semina ya makarani ni kuanzia tarehe 28. Leo ni tarehe 4 majina hayajatoka. Hivi unafikiri kwa siku 24 zilizobaki inawezekena kutangaza majina, kufanya usaili wa watu let say 400k tanzania nzima, uchambuzi wa wasahiliwa wote na kuchagua wataofanya sensa, kutangaza majina na kujiandaa na semina?

Kama ratiba itabaki kama ilivyo, sioni kama usaili utakuwepo. Ila kama wana comprise baadhi ya vitu hasa ratiba, pengine utakuwepo.

Yote kwa yote, muda utaongea.
 
Mkuu usaili siku moja inatosha sana aisee mbona UTUMISHI wanafanya mara kibao na majibu wanatoa siku hiyo hiyo
 
Mkuu usaili siku moja inatosha sana aisee mbona UTUMISHI wanafanya mara kibao na majibu wanatoa siku hiyo hiyo
Kwa ratiba waliyoitoa, sasa hivi ilitakiwa usaili uwe tayri uwe umefanyika zamani sana. Hali ya wao hadi sasa kushindwa kutoa majina tu ya watakaofanya usaili inatia shaka kama huo usaili utafanyika.

Ila acha tuone.
 
Ngoja tuone itakuaje
 
Usaili lazima uwepo.
 
Usaili must coz ni njia ya watu kupiga hela hawawezi kuziacha izo pesa
 
Usaili ni kama pie lazma uwepo nakumbuka huku kijijn kwenye maombi ya postikodi maombi yalikuwa mwisho ijumaa fulani but usiku wa ijumaa kila mtu katumiwa text kuwa kesho yake jumamosi ni usaili na watu tukaenda then jumatatu watu waliopata wakapigiwa simu so hawa jamaa wa hizi halmashauri hawashindwi kitu.
 
Ngoja nidownload sizoni kama episode 10 najua mpk kuzimaliza mkeka unaweza kuwa tayari..
 
Mkuu sasa watu wanaotakiwa ni laki 2 walioomba ni laki 5+++, unataka uniambie watawakata wote wabaki laki 2?
Hao watu walioomba kwa hizo nafasi laki mbili na elfu tano, hao waombaji mbona wachache sana kulingana na idadi inayotakiwa.
 
Mkuu Usahili unaweza kufanyika hata siku moja tu, Yani ndani ya wiki Moja majina yanatangazwa na Usahili kufanyika.

Lakini ninachoona, Usahili utafanyika Mwisho baada ya Mafunzo. Utakua mtihani wa Karatasi Maswali machache na baadae Vitendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…