mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,078
- 2,266
Mkuu majina lini aiseNdugu zangu, zoezi la uhamasishaji mikoani soon linaanza rasmi, kama upo dodoma anza kupita Hq pale upate hii kazi ya kusambaza vipeperushi.. Posho ni nzuri pia.[emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu majina lini aiseNdugu zangu, zoezi la uhamasishaji mikoani soon linaanza rasmi, kama upo dodoma anza kupita Hq pale upate hii kazi ya kusambaza vipeperushi.. Posho ni nzuri pia.[emoji120]
Mkuu sasa watu wanaotakiwa ni laki 2 walioomba ni laki 5+++, unataka uniambie watawakata wote wabaki laki 2?Yale yanayofanyika baada ya mafunzo sio usaili, ile ni kama tathimini ya kile ulichojifunza. Na huwa hakuna karani wala msimamizi ambaye huwa anashindwa kujibu kile walichojifunza watu punguzeni hofu.
Team zote leo zimeondoka kuelekea mikoa tofaut tofaut.. Ngazi ya mikoa semina inaanza rasmi.. Tuwe wavumilivu.Mkuu majina lini aise
Kwa muda uliobaki ni ngumu sana usaili kuwepo, semina ya makarani ni kuanzia tarehe 28. Leo ni tarehe 4 majina hayajatoka. Hivi unafikiri kwa siku 24 zilizobaki inawezekena kutangaza majina, kufanya usaili wa watu let say 400k tanzania nzima, uchambuzi wa wasahiliwa wote na kuchagua wataofanya sensa, kutangaza majina na kujiandaa na semina?Mkuu sasa watu wanaotakiwa ni laki 2 walioomba ni laki 5+++, unataka uniambie watawakata wote wabaki laki 2?
Mkuu usaili siku moja inatosha sana aisee mbona UTUMISHI wanafanya mara kibao na majibu wanatoa siku hiyo hiyoKwa muda uliobaki ni ngumu sana usaili kuwepo, semina ya makarani ni kuanzia tarehe 28. Leo ni tarehe 4 majina hayajatoka. Hivi unafikiri kwa siku 24 zilizobaki inawezekena kutangaza majina, kufanya usaili wa watu let say 400k tanzania nzima, uchambuzi wa wasahiliwa wote na kuchagua wataofanya sensa, kutangaza majina na kujiandaa na semina?
Kama ratiba itabaki kama ilivyo, sioni kama usaili utakuwepo. Ila kama wana comprise baadhi ya vitu hasa ratiba, pengine utakuwepo.
Yote kwa yote, muda utaongea.
Kwa ratiba waliyoitoa, sasa hivi ilitakiwa usaili uwe tayri uwe umefanyika zamani sana. Hali ya wao hadi sasa kushindwa kutoa majina tu ya watakaofanya usaili inatia shaka kama huo usaili utafanyika.Mkuu usaili siku moja inatosha sana aisee mbona UTUMISHI wanafanya mara kibao na majibu wanatoa siku hiyo hiyo
Ngoja tuone itakuajeKwa ratiba waliyoitoa, sasa hivi ilitakiwa usaili uwe tayri uwe umefanyika zamani sana. Hali ya wao hadi sasa kushindwa kutoa majina tu ya watakaofanya usaili inatia shaka kama huo usaili utafanyika.
Ila acha tuone.
Usaili lazima uwepo.Kwa muda uliobaki ni ngumu sana usaili kuwepo, semina ya makarani ni kuanzia tarehe 28. Leo ni tarehe 4 majina hayajatoka. Hivi unafikiri kwa siku 24 zilizobaki inawezekena kutangaza majina, kufanya usaili wa watu let say 400k tanzania nzima, uchambuzi wa wasahiliwa wote na kuchagua wataofanya sensa, kutangaza majina na kujiandaa na semina?
Kama ratiba itabaki kama ilivyo, sioni kama usaili utakuwepo. Ila kama wana comprise baadhi ya vitu hasa ratiba, pengine utakuwepo.
Yote kwa yote, muda utaongea.
Usaili must coz ni njia ya watu kupiga hela hawawezi kuziacha izo pesaKwa muda uliobaki ni ngumu sana usaili kuwepo, semina ya makarani ni kuanzia tarehe 28. Leo ni tarehe 4 majina hayajatoka. Hivi unafikiri kwa siku 24 zilizobaki inawezekena kutangaza majina, kufanya usaili wa watu let say 400k tanzania nzima, uchambuzi wa wasahiliwa wote na kuchagua wataofanya sensa, kutangaza majina na kujiandaa na semina?
Kama ratiba itabaki kama ilivyo, sioni kama usaili utakuwepo. Ila kama wana comprise baadhi ya vitu hasa ratiba, pengine utakuwepo.
Yote kwa yote, muda utaongea.
Sina UE boss.. Ila hizi kazi lazima nipate Mkuu.. yaani hizo pesa zao lazima ninywee bia siku mbili tatuHuu utawala wa saa100 taarifa hazi-leak yaan haiwezekan ramli zote zikwame labda wanasubiri Shombe la Kisomali amalizie EU
Toa hiyo avatar mtu yupo uchi halafu tupo katika masiku matukufu utaharibu Swaumu za watu bila kujua..Inasikitisha Sana!
Malizia EU Mkuu hizo Kaz laZma upateSina UE boss.. Ila hizi kazi lazima nipate Mkuu.. yaani hizo pesa zao lazima ninywee bia siku mbili tatu
Kweli hajui watu tumefungaToa hiyo avatar mtu yupo uchi halafu tupo katika masiku matukufu utaharibu Swaumu za watu bila kujua..
Hao watu walioomba kwa hizo nafasi laki mbili na elfu tano, hao waombaji mbona wachache sana kulingana na idadi inayotakiwa.Mkuu sasa watu wanaotakiwa ni laki 2 walioomba ni laki 5+++, unataka uniambie watawakata wote wabaki laki 2?
Inasikitisha Sana! MkuuToa hiyo avatar mtu yupo uchi halafu tupo katika masiku matukufu utaharibu Swaumu za watu bila kujua..
Mkuu Usahili unaweza kufanyika hata siku moja tu, Yani ndani ya wiki Moja majina yanatangazwa na Usahili kufanyika.Kwa muda uliobaki ni ngumu sana usaili kuwepo, semina ya makarani ni kuanzia tarehe 28. Leo ni tarehe 4 majina hayajatoka. Hivi unafikiri kwa siku 24 zilizobaki inawezekena kutangaza majina, kufanya usaili wa watu let say 400k tanzania nzima, uchambuzi wa wasahiliwa wote na kuchagua wataofanya sensa, kutangaza majina na kujiandaa na semina?
Kama ratiba itabaki kama ilivyo, sioni kama usaili utakuwepo. Ila kama wana comprise baadhi ya vitu hasa ratiba, pengine utakuwepo.
Yote kwa yote, muda utaongea.