Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Hao watu walioomba kwa hizo nafasi laki mbili na elfu tano, hao waombaji mbona wachache sana kulingana na idadi inayotakiwa.
Wachache kivipi? Nafasi zilizotangazwa ni laki 2++, na Maombi yaliyotumwa ni laki 5++
 
Wachache kivipi? Nafasi zilizotangazwa ni laki 2++, na Maombi yaliyotumwa ni laki 5++
Mkuu hiyo idadi hapo ni sawa na ratio ya 1:3, na hapo kabla ya panga la nbs sasa wakishapitisha panga lao unadhani hiyo ratio ya 1:3 itakuwepo tena? Ndio maana nakwambia hiyo idadi ya waombaji ni wachache kulingana na nafasi zilizopo.
 
Kumbukeni wengi walio omba ukarani wanakaa maeneo ya mijini , kumbukeni hilo na vijijini ni wachache mno....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…