Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Kikao cha leo na waandishi wa habari, kamati za sensa wilaya zimeambiwa kuanzia tareh ya leo 6 mpaka 26 ziwe zimetoa majina na usaili ufanyike ndani ya hizo tarehe maana semina na mafunzo ya makarani zitakua tareh 29 julai hadi 18 agosti
Mmmh ina maana semina ni siku 14 tena kiongozi

Sio siku 21 kama Anne makinda alivyosema
 
Hivi huo usaili ni maswali gani huulizwa??

Na ina maana NBS watatoa majina ya waliopita stage hiyo then tunaenda kufanya huo usaili na majina yanatolewa(kubandikwa) katani??

Au utaratibu ukoje mpaka sasa, maana ile ratiba yao tayari imeexpire.
I thnk watarusha kwenye habari maana tulikua na waandishi...
 
Back
Top Bottom