walimu walimu watalaniwa kila kona mpaka watajuta [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji366]Za ndaaani kabisaa...
Sensa watafanya walimu tuu
Za nje zinasemaje mkuuZa ndaaani kabisaa...
Sensa watafanya walimu tuu
Mmmh ina maana semina ni siku 14 tena kiongoziKikao cha leo na waandishi wa habari, kamati za sensa wilaya zimeambiwa kuanzia tareh ya leo 6 mpaka 26 ziwe zimetoa majina na usaili ufanyike ndani ya hizo tarehe maana semina na mafunzo ya makarani zitakua tareh 29 julai hadi 18 agosti
Yo do the mathsMmmh ina maana semina ni siku 14 tena kiongozi
Sio siku 21 kama Anne makinda alivyosema
Ni siku 21 mkuuTareh 29 julai mpaka 18 agost ni siku ngap mkuu
Kwahiyo majina lini? Na mlikua na waandishi wapi? Au LODGE?I thnk watarusha kwenye habari maana tulikua na waandishi...
Sio kwamba tumezipania hapa tunapiga story tu by the way kupata kukosa ni kawaida hakuna mtu atakufa kwa sabab amekosa sensa japo kila mtu anahitaji hii pesaAisee watu mmezipania hizi kazi.
Utakuwa disappointed soon[emoji2]
Msiwe na higher expectations.
Just relax tu halafu endeleeni michakato yenu
information zako naziamini sana mkuuI thnk watarusha kwenye habari maana tulikua na waandishi...
Malipo yakoje mkuu?I thnk watarusha kwenye habari maana tulikua na waandishi...
I thnk watarusha kwenye habari maana tulikua na waandishi...