Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

kwan uchaguz mjina yalikaa mda gan mpka tukaenda katka semina
Ebu pitia taarifa hapo juu huyo jamaa anakudanganya semina inaanza trh 29 ya makarani, wasimamizi, na watu wa tehama mpk trh 18 barua iko hapo juu umekimbia kukomenti pasipo kupitia dodoo za hapo juu taarifa imetoka jana
 
sawa kiongoz nmekuelewa
 
Kila kukicha mambo yanazidi kuwa moto huu uzi[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Hii ratiba sehemu A ipo nyuma ya muda bt sehemu B at least tunaweza tembea nayo
Mbona site yao hawajaweka chochote.. wahuni watuua watu kwa pressure. Nimeangalia website ya NBS sjaona. kuna tangazo la mwezi wa 5 tu ambalo linahusu sensa.
 
Vigezo walivyotumia kukata majina ya waombaji ni
1. Sahihi ya mwombaji kutowekwa
2. Waombaji kuweka living certificate
3. Sahihi za wadhamini kutowekwa
4. Kutokata sehemu waliyoandika afikiriwe ama asifikiriwe.
5. Kutoweka mhuri wa mtendaji yeyote kata au kijiji.

NB. nenda uangalie copy za form yako ukiona umenusurika na hivyo vigezo ujue jina litatoka.
 
Mkuu Hiyo Copy Haina Ishu Sanaa.
Labda Kama Mtendaji Ataamua kukaza, na inaweza ikawa ndo Sababu ya kupunguza Watu kwenye Usahili Lakini kama Mtendaji upo nae Vizuri hakuna Tatizo kikubwa jina lako lirudi katani na Mtendaji kula nae sahani moja Basi.
Watasimama na kile kipengele uache form yako kwa mtendaji wa mtaa.
 
Fafanua vzr mkuu,
Kwamba Kata ndiyo watatoa majina kwa nbs badala ya nbs ndiyo wawape majina Kata kwa hoja kuwa ni ili nbs wajiridhishe kuwa muombaji ni mkazi wa eneo husika.

Mkanganyiko wangu ulipo ni kwa nin nbs wawe na mashaka na muombaji kuwa mkaazi wa eneo husika haliyakuwa wakati wa kutuma maombi kuna fomu ilikuwa inajazwa na muombaji,wadhamini wake lakini pia uongozi wa serikali ya mtaa/kijiji kwa maana ya mtendaji wa mtaa.

Swali langu.
Mtendaji wa mtaa/kijiji aliwezaje kumsainia fomu muombaji na ikatumwa nbs bila yeye kujiridhisha kama muombaji ni mkaaji halali wa eneo husika na kama hiyo haitoshi akachukua nakala ya fomu hiyo na kubaki nayo ofisini kwake na sasa hao nbs bado warudi tena kutaka ushahidi wa ukaazi wa muombaji kwenye eneo husika?
Labda tume overthinking, maelezo yalisema makarani watafanyiwa usaili na watendaji wa mtaa,sasa wewe hapa ni kipi kigumu?
Majina yanatoka hapa soon then kama jina lako lipo utaliona kwenye ofis ya kata au ya mtaa
Baada ya hapo kinachofata ni usaili ambao watahusika watu wa kata husika. Baada ya hapo watendaji watawasilisha wajina nbs,mbona kwenye uchaguzi mkuu shughuli wanafanya watendaji tuwaamini tu.
 
Vigezo walivyotumia kukata majina ya waombaji ni
1. Sahihi ya mwombaji kutowekwa
2. Waombaji kuweka living certificate
3. Sahihi za wadhamini kutowekwa
4. Kutokata sehemu waliyoandika afikiriwe ama asifikiriwe.
5. Kutoweka mhuri wa mtendaji yeyote kata au kijiji.

NB. nenda uangalie copy za form yako ukiona umenusurika na hivyo vigezo ujue jina litatoka.
Vipi ikiwa waombaji wote kwenye kata husika wanamakosa hayo au asilimia kubwa wapo hivyo watatumia na nafasi zipo wazi vigezo gani vitatumika ?
 
Back
Top Bottom