semina tarehe 29kuna jamaa nmemuuliza yupo halmashauri kasema mwisho wa huu mwezi ndo majina yanatoka
kwan uchaguz mjina yalikaa mda gan mpka tukaenda katka seminasemina tarehe 29
usaili utafanyika lini majina yakitoka mwisho wa mwezi?
mwisho wa mwezi ni tarehe 30 au 31
Ebu pitia taarifa hapo juu huyo jamaa anakudanganya semina inaanza trh 29 ya makarani, wasimamizi, na watu wa tehama mpk trh 18 barua iko hapo juu umekimbia kukomenti pasipo kupitia dodoo za hapo juu taarifa imetoka janakwan uchaguz mjina yalikaa mda gan mpka tukaenda katka semina
sawa kiongoz nmekuelewaEbu pitia taarifa hapo juu huyo jamaa anakudanganya semina inaanza trh 29 ya makarani, wasimamizi, na watu wa tehama mpk trh 18 barua iko hapo juu umekimbia kukomenti pasipo kupitia dodoo za hapo juu taarifa imetoka jana
Umetuma mbili futa moja nikupe ubwabwa[emoji23][emoji23]Ratiba hiyo hapo
Hii ratiba sehemu A ipo nyuma ya muda bt sehemu B at least tunaweza tembea nayoRatiba hiyo hapo
Watanitambua kwakweliHapo mdau wangu mfuko wa shati lazima kibunda cha milioni+ kiwepo nadhani mitaa ya masenze watakukoma.
Mbona site yao hawajaweka chochote.. wahuni watuua watu kwa pressure. Nimeangalia website ya NBS sjaona. kuna tangazo la mwezi wa 5 tu ambalo linahusu sensa.Hii ratiba sehemu A ipo nyuma ya muda bt sehemu B at least tunaweza tembea nayo
Sasa unamuuliza mfyeka majani anajua nini?kuna jamaa nmemuuliza yupo halmashauri kasema mwisho wa huu mwezi ndo majina yanatoka
[emoji1787][emoji1787]Sasa unamuuliza mfyeka majani anajua nini?
Kuna posho ya semina na hela ya kazi.700,000Tsh ÷ 31 Days = 22,580 Tsh per day.
Hela ndogo.
Ndio navyojua mm ivyo.Siku za semina 21, siku za zoezi lenyewe 10. Labda kama posho ya semina na kazi ni tofauti.
Watasimama na kile kipengele uache form yako kwa mtendaji wa mtaa.Mkuu Hiyo Copy Haina Ishu Sanaa.
Labda Kama Mtendaji Ataamua kukaza, na inaweza ikawa ndo Sababu ya kupunguza Watu kwenye Usahili Lakini kama Mtendaji upo nae Vizuri hakuna Tatizo kikubwa jina lako lirudi katani na Mtendaji kula nae sahani moja Basi.
Labda tume overthinking, maelezo yalisema makarani watafanyiwa usaili na watendaji wa mtaa,sasa wewe hapa ni kipi kigumu?Fafanua vzr mkuu,
Kwamba Kata ndiyo watatoa majina kwa nbs badala ya nbs ndiyo wawape majina Kata kwa hoja kuwa ni ili nbs wajiridhishe kuwa muombaji ni mkazi wa eneo husika.
Mkanganyiko wangu ulipo ni kwa nin nbs wawe na mashaka na muombaji kuwa mkaazi wa eneo husika haliyakuwa wakati wa kutuma maombi kuna fomu ilikuwa inajazwa na muombaji,wadhamini wake lakini pia uongozi wa serikali ya mtaa/kijiji kwa maana ya mtendaji wa mtaa.
Swali langu.
Mtendaji wa mtaa/kijiji aliwezaje kumsainia fomu muombaji na ikatumwa nbs bila yeye kujiridhisha kama muombaji ni mkaaji halali wa eneo husika na kama hiyo haitoshi akachukua nakala ya fomu hiyo na kubaki nayo ofisini kwake na sasa hao nbs bado warudi tena kutaka ushahidi wa ukaazi wa muombaji kwenye eneo husika?
Haina noma Mkuu wacha nivunge nickose ving.[emoji120]We uchune tu bitches comes and go
Vipi ikiwa waombaji wote kwenye kata husika wanamakosa hayo au asilimia kubwa wapo hivyo watatumia na nafasi zipo wazi vigezo gani vitatumika ?Vigezo walivyotumia kukata majina ya waombaji ni
1. Sahihi ya mwombaji kutowekwa
2. Waombaji kuweka living certificate
3. Sahihi za wadhamini kutowekwa
4. Kutokata sehemu waliyoandika afikiriwe ama asifikiriwe.
5. Kutoweka mhuri wa mtendaji yeyote kata au kijiji.
NB. nenda uangalie copy za form yako ukiona umenusurika na hivyo vigezo ujue jina litatoka.