Huko mkuranga ndo madudu yamezidiNilikua nacheki ITV huko mkuranga kati ya makarani 250 zimekuja 60 tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko mkuranga ndo madudu yamezidiNilikua nacheki ITV huko mkuranga kati ya makarani 250 zimekuja 60 tu!!
Na watapewa siku tano za mwisho. Tuliwapa dondoo wakatupuuza. Nafikiri total payment ni 560Huku Rufiji mpaka leo wamelipwa siku 5 tu za kwanza
Yasije kuwa yale yale ya BVR!!Huko mkuranga ndo madudu yamezidi
Ngoja tuoneYasije kuwa yale yale ya BVR!!
Makarani hela ya kazi ni 500 kamiliNa watapewa siku tano za mwisho. Tuliwapa dondoo wakatupuuza. Nafikiri total payment ni 560
Makarani hela ya kazi ni 500 kamili
Makarani wanaofanya dodoso la jamii hela ya kazi ni 555
Lakini sio mbaya aisee jumlisha 440 za nyuma jumla 940 kwa 995 ni mtaji huo japo kazi ni ngumu sana wangewafikiria zaidi.Makarani hela ya kazi ni 500 kamili
Makarani wanaofanya dodoso la jamii hela ya kazi ni 555
Tena na zaidi ! Hela ndogo kabisa kwa makarani jumla inafika 1.1m labda kama zilizobaki wawachinjie bahariniLakini sio mbaya aisee jumlisha 440 za nyuma jumla 940 kwa 995 ni mtaji huo japo kazi ni ngumu sana wangewafikiria zaidi.
Na watapewa siku tano za mwisho. Tuliwapa dondoo wakatupuuza. Nafikiri total payment ni 560
Hapana haifanani.Na malipo yao ni makubwa zaidi ya wengineSijaelewa ili limekaaje tehama na maudhui mikataba yao inafanana?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Vp ndugu kuna alie kwisha kupewa vifaa vya kazi??Hapana haifanani.Na malipo yao ni makubwa zaidi ya wengine
Kuna jamaa huku kapata jalada na muongozo tu ndo anauliza hili jalada la kazi ganVp ndugu kuna alie kwisha kupewa vifaa vya kazi??
Mbona wamesaini mikataba sawa na watu wa maudhuiHapana haifanani.Na malipo yao ni makubwa zaidi ya wengine
😂😂fanzeni kazi aisee mwache klalamika