Nafasi za kazi 350 Idara ya Uhamiaji Tanzania 2021

Nafasi za kazi 350 Idara ya Uhamiaji Tanzania 2021

Kweli kitaani kugumu, hizi kazi wasomi zamani walikuwa wakizikimbia, saa hv watu wanazisaka kishenzi 😂
 
Nimeona majina ya walioitwa kwa ajili ya kuanza mafunzo katika gazeti la Mwanachi la leo tarehe 12/11/2021
 
Wana report lini?

IMG_0282.jpg
 
Uzi huu ushamaliza mwendo wake......tumebakiwa na uzi wa Magereza na zimamoto duh [emoji849]
 
Haujamaliza wanareport hata kuondoka watu hawajaondoka kwenda mafunzo shida sijui nn
 
Hv kwa mtu wa bachelor kuna madhara kuomba kwa kutumia cheti cha form six pekee kama shahada aliosoma haijatajwa hapo kwenye tangazo

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
hakuna shida Sababu utaonekana kama umemaliza six

NB:MCHAWI UMRI TUU HAPO KAMA UMEKIDHI APO FRESH
Na kuhusu baadae either ndo umebahatika then ukaingia kosini ukainesha cheti cha degree haitoleta shida baadae ata kuiendeleza vyeo, note umri still unaniruhusu nipo chini ya 28

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Na kuhusu baadae either ndo umebahatika then ukaingia kosini ukainesha cheti cha degree haitoleta shida baadae ata kuiendeleza vyeo, note umri still unaniruhusu nipo chini ya 28

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app

Inawezekana pia THOUGH*Nadhani itachukua muda kidogo ili wakubadili
 
Back
Top Bottom