Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Ninahitaji watu 5 pekee (wadada na wakaka) wenye uelewa na passion ya marketing (hasa digital marketing) ili kuendeleza sekta ya utalii na kuhakikisha wageni wanapatikana kila mwezi.
🔑 Muundo wa Kazi
Kazi yako kuu ni marketing & client acquisition — kuhakikisha wageni wa kimataifa na wa ndani wanafahamu huduma zetu na wanafanya booking.
Utatakiwa kutumia mbinu za social media campaigns, content creation, SEO, influencer engagement, direct client conversion strategies, pamoja na offline networking pale inapobidi.
💰 Malipo
Mshahara wa kuanzia: TZS 200,000 kwa mwezi.
Kila mfanyakazi atalipwa zaidi kulingana na idadi ya wageni anaowaleta (performance-based increment). Yaani, the more guests you bring, the higher your pay grows.
Mfumo huu wa malipo unakuza ushindani chanya na results-driven mindset.
🎯 Sifa za Waombaji
Uwe na uelewa wa digital tools (Instagram, TikTok, Facebook Ads, Google tools n.k).
Uwe tayari kujifunza haraka, kushirikiana na timu, na kuonesha consistency.
Background yoyote inakaribishwa, ila uzoefu wa marketing/tourism/hospitality utapewa kipaumbele.
Hii ni nafasi ya kipekee kwa vijana wenye IQ ya ubunifu na kazi, wanaotaka kutumia marketing competence yao kuleta matokeo halisi. Kumbuka, hii siyo kazi ya kukaa ofisini kusubiri — ni kazi ya strategic outreach kuhakikisha wageni wanapatikana kila mwezi.
📌 Waombaji walioko serious tu ndio wanakaribishwa.