Nafasi za kazi: Fitter Mechanics and Welder/Fabricator

Nafasi za kazi vijana mkuje
 
Nafasi za kazi bado zipo
 
Dah sasa sisi tusiokuwa na elimu itakuaje mkuu, hatuwezi kuja ili ht tulipwe nusu?
Vyeti imekuwa mtihani, kuna watu wana ujuzi ila uchawi hawana vyeti..

Kama bado una nafasi, uri unaruhusu na bado hujawa na familia kubwa, tafuta vishort course kama vipo usuuze CV mzee
 
Mambo magumu mzee wangu, unaweza kushangaa unazeekea shuleni 😎
 
Mkuu ukitihaji Hr hata wa kubalance structure ya taasisi tujulishane, ili tupate nafasi ya kuendeleza ujuzi na kuongeza experience
 
Bila kusahau Cashier nipo hapa mkuu. Company inahitaji mtu wa kuprocess payments na kuissue receipts pindi wateja wanapofanya purchases
 
Team ya fedha na cash control tunao boss
 
Back
Top Bottom