Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Jamani mwaka mpya na fursa za ajira zimetangazwa kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Wale wenye sifa tujimwage kujaribu bahati zetu. Tangazo hili linapatikana pia kwenye page yao ya Instagram.
Halafu si tuliambiwa Uhamiaji sasa ni jeshi, sasa mbona msemaji wao bado anaitambulisha kama Idara ya Uhamiaji?
Heri ya Mwaka Mpya 2022 wana JF wote. Mkawe na mwaka mwema wenye mafanikio tele.
Halafu si tuliambiwa Uhamiaji sasa ni jeshi, sasa mbona msemaji wao bado anaitambulisha kama Idara ya Uhamiaji?
Heri ya Mwaka Mpya 2022 wana JF wote. Mkawe na mwaka mwema wenye mafanikio tele.