Nafasi za kazi Idara ya Uhamiaji (470)

Nafasi za kazi Idara ya Uhamiaji (470)

Jaman naombeni mniorodheshee vyeo vyote katika idara ya uhamiaji kwanzia cheo Cha chini adii Cha juu kabisa, pia naomba kujua viongozi wa juu kabisa wa idara io
Vyeo vya hawa jamaa vinafanana na vya Polisi na Magereza.
Mfano cheo cha kuanzia ni Constable. Kwa hiyo kuna Constable wa Uhamiaji na kuna Constable wa Polisi na Magereza. Cheo cha juu kwa polisi ni Inspekta Jenerali, wakati kwa Uhamiaji na Magereza ni Kamishna Jenerali.
 
Asaante San, Sasa wakat mm naomba nimeomba Kama mtu wa 4m4 sijasema Kama nimemaliza form6 kwa7bu 4m6 nilipata zero kabisa masoomo yote nilipata F nikiwa nasoma PCB ko vipi sa na chet Cha jkt kinaonesha ni mujibu wa Sheria, vipi apo awawezi kumaindii?
Dua
 
Pia Asante Kwa hili jibu, naomba msaada wa maswali yanayoweza kuurizwa uko wakati wa kufanya usaili wa jeshi la uhamiaji endapo nikiitwa nisije kutoa macho tu

Na kama cheo Cha kuanzia ni konstebo, je askari ambae hana cheo chochote kabisa kwenye idara ya uhamiaji anaitwa nani??
Ambaye hana cheo ndio huyo Constable. Akipanda cheo kinachofuata ndio anakua Coplo, sergeant, Staff Sergeant, Sergeant major, Assistant Inspector, Inspector, Assistant Superintendent, Superintendent, Senior Superintendent, Assistant Commissioner, Senior Assistant Commissioner, Deputy Commissioner, Commissioner, Commissioner General.
 
Kuhusu maswali siwezi kujua ndugu. Hilo lipo nje ya uwezo wangu. Labda umtafute mtu anayefanya kazi huko anaweza kukusaidia.
 
Ambaye hana cheo ndio huyo Constable. Akipanda cheo kinachofuata ndio anakua Coplo, sergeant, Staff Sergeant, Sergeant major, Assistant Inspector, Inspector, Assistant Superintendent, Superintendent, Senior Superintendent, Assistant Commissioner, Senior Assistant Commissioner, Deputy Commissioner, Commissioner, Commissioner General.
Shukran Sana bro nimeelewa, apa
 
Usikatishwe tamaa na mtu kwasababu et yy alikosa, wapo waliopata na hawana connection wala kupendelewa.... Hapa ni kutuma maombi na ukiitwa interview ni kuhudhuria
Asaaante saana kwa ushauri, nikiitwa nitawajuza ili tuendelee kutiana moyo
 
Huu uzi mpaka kieleweke wanangu naamini sote tutaondoka kama walioanza kuondoka
 
Kunamdau katuma leo, na yupo kigoma, mzigo utafika dodoma leo leo jaman
 
Back
Top Bottom