Nafasi za kazi Idara ya Uhamiaji (470)

Nafasi za kazi Idara ya Uhamiaji (470)

Nimejila mazee sijui wanavigezo gani wanavyotaka vingine vyote ninavyo ila nimekosa hizi ajira yawezekana ikawa ni fake tuweni makini
 
Daah mzee wangu sio poa. Nilienda usaili wa polisi makao makuu nikakosa, Nikaenda fire November makao nikakosa. Takukuru nilipoitwa sikwenda sababu ya watu wengi kuitwa. Leo uhamiaji wametoa majina simo.

Daah Inakata kinoma mzee wangu. Probably Mungu katuandalia sehemu nyingine au nzuri zaidi kila mtu kwa nafasi yake mkuu
 
yaani we acha tu inauma sana mzee mtu umejitaid kusma kwa nguvu zte then unakuja kumalza mambo yenyewe ndo yanakuwa haya
 
Nimejila mazee sijui wanavigezo gani wanavyotaka vingine vyote ninavyo ila nimekosa hizi ajira yawezekana ikawa ni fake tuweni makini
Nimejila mazee sijui wanavigezo gani wanavyotaka vingine vyote ninavyo ila nimekosa hizi ajira yawezekana ikawa ni fake tuweni makini
Samahani naomba kuuliza kwani majina ya waliochaguliwa naweza yaona wapi?
 
Wadau kwa anyefahamu kozi ya operator wa mitambo pale shinyanga anijuze ada yake na wanachukua mwaka huu watu
 
Back
Top Bottom