Nafasi za kazi Idara ya Uhamiaji (470)

Nafasi za kazi Idara ya Uhamiaji (470)

Kazi kwetu
IMG_20221211_094437.jpeg
IMG_20221211_094440.jpeg
IMG_20221211_123508.jpeg
 
Tuliambiwa ajira zote zinapitia secretariat ya ajira na majuzi tuu hapa Waziri wa Utumishi kalizungumzia sasa tunajiuliza kuna Serikali ngapi?

Au kuna baadhi ya Kazi hazitakiwi kupitia huko?

Taasis inaweza omba without kupitia utumishi, hata taasis za mali asili huwa wanahiko kibali itategemea na scope ya ajira
 
Wakuuu, hvv kwa sisi form 6 tusuokuwa na fani hzoo walitotajaa hapoo tunaweza kuombaa hvyo hvyooo???

Then na kwa upande wa Cv kwa form 6 inawekwajeee??

Mmm nachanganyikiwaaa hukuuu
 
Wakuuu, hvv kwa sisi form 6 tusuokuwa na fani hzoo walitotajaa hapoo tunaweza kuombaa hvyo hvyooo???

Then na kwa upande wa Cv kwa form 6 inawekwajeee??

Mmm nachanganyikiwaaa hukuuu
Wenye fani ndio watapewa kipaombele ,so Kuna wengine wanaweza chukuliwa kama unachet cha jkt mkuu wewe tumaaa ....
 
Na hz Cv tunaandka wote mpk sisi wa fomu 4 au nikwaa wa degree tuhh??
 
Wadau mim nashindwa kuelewa,kwanini waseme viambatanisho vithibitishwe na Hakim au wakili wa serikali mfano chet ya kidato cha 4 yaani hawaamini km yenyewe au panakaaje hapo?
 
Wadau mim nashindwa kuelewa,kwanini waseme viambatanisho vithibitishwe na Hakim au wakili wa serikali mfano chet ya kidato cha 4 yaani hawaamini km yenyewe au panakaaje hapo?
Fata maelekezo, kupiga muhuri haizidi elfu10 kwa vyeti vyote ulivyonavyo, nenda mahakamani shughuli imekwisha mtafute hakimu au Wakili that's all
 
Wadau mim nashindwa kuelewa,kwanini waseme viambatanisho vithibitishwe na Hakim au wakili wa serikali mfano chet ya kidato cha 4 yaani hawaamini km yenyewe au panakaaje hapo?
Hata ajira portal ukituma maombi kwenye account yako na wakakuta vyeti vyako havina muhuri wa wakili, hakimu hawakuiti kwenye interview yyote.

Watakwambia tu umeshindwa kuitwa interview kwasababu vyeti vyako sio verified through your account.
 
Hata ajira portal ukituma maombi kwenye account yako na wakakuta vyeti vyako havina muhuri wa wakili, mwanasheria hawakuiti kwenye interview yyote.

Watakwambia tu umeshindwa kuitwa interview kwasababu vyeti vyako sio verified through your account.
Duuuh Kaz kw kwel,lkn tajitahid
 
Back
Top Bottom