Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Wameupiga mwingi.Jamani mwaka mpya na fursa za ajira zimetangazwa kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Wale wenye sifa tujimwage kujaribu bahati zetu. Tangazo hili linapatikana pia kwenye page yao ya Instagram.
Halafu si tuliambiwa Uhamiaji sasa ni jeshi, sasa mbona msemaji wao bado anaitambulisha kama Idara ya Uhamiaji?
Heri ya Mwaka Mpya 2022 wana JF wote. Mkawe na mwaka mwema wenye mafanikio tele.
Waliopita jkt na waliopo jkt kazi kwenu Mama kashaupiga mwingi ukoJamani mwaka mpya na fursa za ajira zimetangazwa kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Wale wenye sifa tujimwage kujaribu bahati zetu. Tangazo hili linapatikana pia kwenye page yao ya Instagram.
Halafu si tuliambiwa Uhamiaji sasa ni jeshi, sasa mbona msemaji wao bado anaitambulisha kama Idara ya Uhamiaji?
Heri ya Mwaka Mpya 2022 wana JF wote. Mkawe na mwaka mwema wenye mafanikio tele.
Nafikiri Taasisi au Vyombo vya Ulinzi na Usalama hawaipitii hukoTuliambiwa ajira zote zinapitia secretariat ya ajira na majuzi tuu hapa Waziri wa Utumishi kalizungumzia sasa tunajiuliza kuna Serikali ngapi?
Au kuna baadhi ya Kazi hazitakiwi kupitia huko?
Nafasi hizo zione hivyo hivyo zinawenyewe tuliojaribu awamu zilizopita tumekutana na vitu vingi Sana vya kukatisha tamaa...hizi ajira za serikali zimejaa kujuana na upendeleo kwa siye tusiojulikana kwetu ni fedheha Sana ..Waliopita jkt na waliopo jkt kazi kwenu Mama kashaupiga mwingi uko
Website nyingi za serikali ni changamoto tupu zimejaa huko. Wewe omba kazi, kama una sifa usije ukajikuta umechelewa bure. Hadi kwenye magazeti wametangaza.Mkuu mbona kwenye website Yao hakuna
Ingekuwa chai, sidhani kama hadi kwenye magazeti wangetangaza. Jinunulie moja la HabariLeo utalikuta tangazo humoHii mbona kama chai hii
Mimi mwenyewe nataka kujua hilo aiseHivi mtu kama hana cheti cha jkt hawezi omba hizi ajira?
Tuombe tu, mengine tuwaachie wahusikaMimi mwenyewe nataka kujua hilo aise
Jaribu bahati yakoHivi mtu kama hana cheti cha jkt hawezi omba hizi ajira?
Mkuu ukitaka ku apply unatuna maombi posta?Nafasi hizo zione hivyo hivyo zinawenyewe tuliojaribu awamu zilizopita tumekutana na vitu vingi Sana vya kukatisha tamaa...hizi ajira za serikali zimejaa kujuana na upendeleo kwa siye tusiojulikana kwetu ni fedheha Sana ..
posta mzee huoni apo chini umewekewa sanduku la posta DodomaTatizo ni Moja mbona sijaona namna ya kutuma kama ni njia ya posta au ya online