Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Jarbu chiefKozi niliyosoma degree haipo hapo kwenye hizo wanazoziitaji. kuna bahati yoyote inayoweza tokea au nisipoteze muda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jarbu chiefKozi niliyosoma degree haipo hapo kwenye hizo wanazoziitaji. kuna bahati yoyote inayoweza tokea au nisipoteze muda tu.
Usipoteze mudaKozi niliyosoma degree haipo hapo kwenye hizo wanazoziitaji. kuna bahati yoyote inayoweza tokea au nisipoteze muda tu.
Maombi unayatuma wapi sasa
Haruhusiwi kuomba,asome tangazo vizuriHivi huwa wanakubali kwa watu waloajiriwa kada nyingine ya serikali na ana vigezo aombe huko, kuna mwamba ameniuliza nmekosa jibu hapo.
Thanks Mkuu kwa taarifa ntamjuza
Tumia cheti cha form sixMtu aliyesoma coz tofauti na coz tajwa anaweza kupata
Hapa mjini connection tu hakuna kinachoshindikana.Hivi huwa wanakubali kwa watu waloajiriwa kada nyingine ya serikali na ana vigezo aombe huko, kuna mwamba ameniuliza nmekosa jibu hapo.
Jaribu bahati mwaisaMtu aliyesoma coz tofauti na coz tajwa anaweza kupata
post zipi mkuu?daaa jamanii kwahyo wale wa 28+ ndio basi tenaa
January ndio hiiLonja zishuke
Zilete basi
Wameshatoa majina ya waliopita?Habari! Wana jamvii mm nimepata jmos natakiwa kwenda kufanya interview dodoma sasa nilikuwa naomba msaada wa hints and tips kuhusu hii interview natanguliza shukrani nyingi.Asante!