Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ronjaaa isiyo na UMUHIMU.

Ila wapo ambao wametapeliwa, wapo waliokatishwa tamaa, wapo waliomtumikia QAFIR/SHETANI ili chat zao zipande.

Yote tisa, kumi tutubu na tujaribu wakati mwingine huku tukimtanguliza Mungu.

Awiiiiiih....
 
Vijana wametoka nao mbali sanaaaa... Toka 18/08/2021.

Juzi ndio umetimiza page ya 100, leo 110+.

Mkuu umeukutia page ya ngapi?
Usikate tamaa kijana na wewe ipo siku Mungu atajibu ombi lako,uzuri vyombo vinaajiri mara kwa mara la msingi uwe na vigezo na connection.
 
Wazalendo naona mnakula utawala mitaa ya shanty town, wengine sijui wameenda Alberto?

Maana si kwa kupoa huku, kikosi kimedorola hakina Lonjaaa.

Hahahahah tupeni lonja mapot
Hahahahah

Kipindi hiki wazee wa lonjaa walikata motoooo... Pumzi ndogoooo route ndefu.

Awiiiiiih
 
Wazee wa ma-back up.

Wa-kujikoti..

Mamwelaaa mmelala? Doria zamu ya nani?

Awiiiiiih
 
Mapongo.. wazee wa chuma... lonja za ccp sasa:

wanasema ccp ukilala na totoz unaamshwa na kufukuzwa kozi. Ukilala fofofo unaamshwa na mabio. Ukilala kilele pori utaamshwa na mabomu... hakuna kulala wanangu wa kazi.


#twenzerudoria
 
Mapongo.. wazee wa chuma... lonja za ccp sasa:

wanasema ccp ukilala na totoz unaamshwa na kufukuzwa kozi. Ukilala fofofo unaamshwa na mabio. Ukilala kilele pori utaamshwa na mabomu... hakuna kulala wanangu wa kazi.


#twenzerudoria
Hahaha mwendo wa Lonja
 
bado majina ya polis hayajaisha,ni wale wenye fani....siku si nyingi mkeka utasoma
 
kwa polis bado kuna mkeka mwingine ,kama uliomba kaa mkao wa kula

soon pdf itaachiwa

wale wanangu wa civil engineering kuna nafas tamisemi 170 hivi.....na usaili watu wanakujaga 200 utumishi


kuna za tanesco nafas 500 ,za certificates ,diploma ,

Awamu hii ikipita hujatoboa basi tena
 
Niliomba PT tu mkuu
Duuh ulijiamini sana mkuu ila sema nini isiwe kesi omba Tanapa hao bado deadline

Na chama la wana likija nalo pia we omba


Mi nimeomba polisi, magereza, uhamiaji kote huko nimekosa sijakata tamaa na wewe usikate tamaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…