Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Duuh ulijiamini sana mkuu ila sema nini isiwe kesi omba Tanapa hao bado deadline

Na chama la wana likija nalo pia we omba

Mi nimeomba polisi, magereza, uhamiaji kote huko nimekosa sijakata tamaa na wewe usikate tamaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Hivi tanapa si wametaka watu wenye certificates ya wanyama pori sjui
 
Nashindwa kulidownload kwenye website yao lipo ?
Mi nilirushiwa kwenye website nimeshindwa kulionaView attachment 1981442View attachment 1981443
Screenshot_20211021-070330.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Qualifications and experience si ni sifa na uzoefu
Halafu hapo CSEE hii ni form 4 halafu hii national service si ndio kama jkt ?

Au mimi nimeelewa tofauti mkuu?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Kama hio national service ni jkt....je kuna jkt ya mwaka mmoja.???maana apo wamesema one year national service
 
Kama hio national service ni jkt....je kuna jkt ya mwaka mmoja.???maana apo wamesema one year national service
JKT = TNS (Tanzania National Service)
Awali mafunzo ya JKT mujibu wa sheria ilikuwa ni mwaka mmoja.
Lakini kisheria hata ukiwa wa kujitolea ukikaa JKT mwaka tayari unastahili kupewa cheti.
 
JKT = TNS (Tanzania National Service)
Awali mafunzo ya JKT mujibu wa sheria ilikuwa ni mwaka mmoja.
Lakini kisheria hata ukiwa wa kujitolea ukikaa JKT mwaka tayari unastahili kupewa cheti.

Kwahio kumbe tunaruhusiwa kuomba pia Hata kama hauna io taaluma ya wanyama.?
 
JKT = TNS (Tanzania National Service)
Awali mafunzo ya JKT mujibu wa sheria ilikuwa ni mwaka mmoja.
Lakini kisheria hata ukiwa wa kujitolea ukikaa JKT mwaka tayari unastahili kupewa cheti.

Salary scale ya TAN 01 ndio kiasi gani hio...
 
Back
Top Bottom