Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Yule mwenye cheti chake kilicho tumika akifatilia anaweza akachukua nafasi yake

Kuna mdau kanitonya.
 
Mjiandae kuna nafasi ziko njiani pia za maafisa usalama viwanja vya ndege/aviation security officers chini ya Tanzania Airport Authority/KADCO(KIA) nao watataka uwe na cheti cha JKT uwe degree/diploma holder or less..

Kazi kwenu vijana hizi kazi tunawaachia damu changa.
 

Mwaka huu wa moto..?[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Bahati mbaya JPemu aliwarundika mtaani vijana wengi hasa hawa wa JKT bila kuwapa mashavu,sasa wasije kutusumbua maporini maana kwa kiasi walishazijua mbinu hivyo ni hatari..acha wawekwe kwenye system tu..
 
Jamaa yangu kaniambia usaili magereza wilays niliopo oral walkua saba tu na wanaohitajika 2, wote vgezo wanavyo bad finally wakarusha karatas juu uchague kimoja,bas ukichagua kimeandkwa HAPANA ndio mwendo waliumaliza
 

Hizi nazo zimekaaje upande wa mishahara Choo Cha Kulipia
 
Nimepita CCP Moshi leo naona kama kuna watu wanaripoti
Nasikia eti watoto wa ma Don wao wanaingia hata mpka December eti hata januari pale ambapo imetokea wamepungua na vipimo au mambo mengine yaani wale wanaojaziwa jaziwa
 
Jamaa yangu kaniambia usaili magereza wilays niliopo oral walkua saba tu na wanaohitajika 2, wote vgezo wanavyo bad finally wakarusha karatas juu uchague kimoja,bas ukichagua kimeandkwa HAPANA ndio mwendo waliumaliza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hi sio fair kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…