Duuu aisee ngoja baka baka aisee kulr hakuna uswahili. Sifa maji na nguvu zako.
Kijana kumekuwa na huonevu haswa kwenye kupata hizi nafasi, yaani nilikuwa nasikia lakin leo nimeyaona.
Ule msemo wa kuwa uyaone nimeuona leo.
Vijana tusikate tamaa tuendeleeni kupambana iko siku yetu kama mungu akikuandikia unatoka utatoka.
Kuna zile ajira elfu moja sijui zimeishia wap?
Af najiuliza, ijumaa ndo siku ya mwisho, hao majina yao yaliyotoka sasahiv wata wekwa wap coz muda wa kuanza koz umefika.
Duuh inatia huruma aisee