Chama la wana kunaweza kukawa na upenyo mzuri na Mwingi PT wamebeba watu wengi SanaSafari hii CCP itajaa nyomi la kufa mtu.
Kama ni hivi basi chama la wana litabeba zaidi ya 10k,kihangaiko na oljoro kwa pamoja.
Degree 97/668 ....Wenye Shahada bado tupo wengi sana mtaani GpiliChama la wana kunaweza kukawa na upenyo mzuri na Mwingi PT wamebeba watu wengi Sana
Degree 97/668 ....Wenye Shahada bado tupo wengi sana mtaani GpiliChama la wana kunaweza kukawa na upenyo mzuri na Mwingi PT wamebeba watu wengi Sana
Jiandae na vyeti vyako vyoteWakuu naombeni tip ya interview za polisi nimeitwa Dodoma tarehe 30 naombeni maelezo kidogo mnaojua kuanzia maswali na jinsi ya kuvaa (mavazi) nivushe
Ni lini chama la wana mkuu...
Asante sna mkuuJiandae na vyeti vyako vyote
Jiandae kupimwa afya, gharama ni 5000 tuu
Lazima wakucheki fitness kama kutembea mwendo wa haraka na kadhalika
Jiandae vizur kwenye fld uliyo somea, haswa kwenye writtern interview
Pia kutakuwa na oral, lakin sio kivile ni maswali tuu ya general
Mimi mwenyewe nimeshangaa wakat walikuw wanataka watu 350 ila wameita watu 120+Dah mbona uhamiaji wamechukua idadi ndogo sana ivi duh...?
Mimi mwenyewe nimeshangaa wakat walikuw wanataka watu 350 ila wameita watu 120+
au vigezo??
Duuuh hatari sana labda watakuwa na list nyingne tusubrBlaza mimi ninavigezo vyoteee na nina washkaji zangu kama saba hivi wote tuna vigezo yan vyooote vigezo tumekidh sasa duuh [emoji849][emoji849][emoji849][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hizo force numbers ukizicheki kwa haraka haraka inaonekana wengi ni waliopita JKT kwa kujitolea, na ambao bado wako vikosini mpaka leo (OP Makao Makuu), bila shaka hao ndio wamepewa kipaumbele. Kuna wadogo zangu nimewaona hapo bado wapo vikosini, na wala hawana mbanga wowoteBlaza mimi ninavigezo vyoteee na nina washkaji zangu kama saba hivi wote tuna vigezo yan vyooote vigezo tumekidh sasa duuh [emoji849][emoji849][emoji849][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ndugu we acha tuKwahyo fire wale tulio andika maombi makao makuu tayari watu washaitwa kitambo kwenye usaili ? [emoji1787][emoji1787] wengine tupo tupo tu
Embu nitafute kigoda nikae nitulie kwanza maana huu mwendo ni mrefu sana [emoji1787]
Achana naomkuu waliweka.fani ya automobile engineering..sijaona Auto hata mmoja ktk hayo majina.
Ngoja tusubiri bakabakaNdugu we acha tu
hata bakabaks itakua hvhvDuuu aisee ngoja baka baka aisee kulr hakuna uswahili. Sifa maji na nguvu zako.
Kijana kumekuwa na huonevu haswa kwenye kupata hizi nafasi, yaani nilikuwa nasikia lakin leo nimeyaona.
Ule msemo wa kuwa uyaone nimeuona leo.
Vijana tusikate tamaa tuendeleeni kupambana iko siku yetu kama mungu akikuandikia unatoka utatoka.
Kuna zile ajira elfu moja sijui zimeishia wap?
Af najiuliza, ijumaa ndo siku ya mwisho, hao majina yao yaliyotoka sasahiv wata wekwa wap coz muda wa kuanza koz umefika.
Duuh inatia huruma aisee
sahh ,kwa kuangalia F number inamana hakuna wa mujibu kabsa apo?Hizo force numbers ukizicheki kwa haraka haraka inaonekana wengi ni waliopita JKT kwa kujitolea, na ambao bado wako vikosini mpaka leo (OP Makao Makuu), bila shaka hao ndio wamepewa kipaumbele. Kuna wadogo zangu nimewaona hapo bado wapo vikosini, na wala hawana mbanga wowote