Kizazijeuri
Member
- Sep 1, 2021
- 66
- 20
Tuko poa sem leo pamepoa kinomaHumu ndani mpo poa?
Wadau wengine wameenda CCP kimya kimya naona...Hawajaaga kabisaTuko poa sem leo pamepoa kinoma
Wadau wengine wameenda CCP kimya kimya naona...Hawajaaga kabisa
Au jamaa nayey huend kaend kimyakimy katuachia uziTwyn wapii?
Wangekuwa wanaaga,tujue pakuanziaa kutoanaAu jamaa nayey huend kaend kimyakimy katuachia uzi
BadoIvi wale wa online wao hadi kwa sasa imekaaj wakuu
Kitenge trh 1 watu wanaanza kuzama mzigoni, kama una mbanga muda ndio huu piganisha
Haha sio poa hali tete kitaaUzi umepoa sanaa huu....
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tukalime matikiti maji kaka hawa hawatabirikiDaaah aisee wengine hata mood hatuna yan tumewekeza akili zetu zote kusubir mkeka
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tukalime matikiti maji kaka hawa hawatabiriki
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app