Eeeee Mungu mlezi naomba unifanyie wepesi pahala pengine tena .. Asante ..Duuuuuuh hadi fire imeninyoa Kwa kwel kazi IPO ...
Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi.. omba tu mkuu tutatoboaEeeee Mungu mlezi naomba unifanyie wepesi pahala pengine tena .. Asante ..
Amen .
Eeeee Mungu mlezi naomba unifanyie wepesi pahala pengine tena .. Asante ..
Amen .
Hivi haya mafunzo ni ya muda Gani?Kuna mdau kanipa za chini chini kwamba huko CCP kuna watu baadhi washaharibu kazi,wametimuliwa kwa utovu wa nidhamu.
Niliwaambia.!
Hakika kakaUsiwaze kaka mungu hakoseagii skuzote [emoji120][emoji120]
AmenWakati wa Mungu ndio wakati sahihi.. omba tu mkuu tutatoboa
Miezi 9 ila waziri wao alipendekeza iwe mwaka 1.Hivi haya mafunzo ni ya muda Gani?
Miezi 9 ila waziri wao alipendekeza iwe mwaka 1.
Uzi upo.Ila Wengi naona wameenda CCP au wamekata tamaa tuWazee uzi huu umekufa.????naona kimya sana
Hawa polisi hawaelewek kabsaaUzi upo.Ila Wengi naona wameenda CCP au wamekata tamaa tu
Tupo bize kutafuta connection bila connection hupati kazi
Wamesema hayoView attachment AJIRALEO.COM_JWTZ_TAARIFA.pdfWadau naskia JW wametoa nafasi,mwnye taarifa ziko vp anisaidie
Hongera kwao,acha wengine tuendelee kupambana na kitaaaCCP leo mafunzo yameanza rasmiView attachment 2030446
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Daah bora hata usingeileta hii picha roho inauma sana [emoji26][emoji24][emoji24]CCP leo mafunzo yameanza rasmiView attachment 2030446
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app