Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Ndio kilichobakia sio lazima wote tupateHongera kwao,acha wengine tuendelee kupambana na kitaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kilichobakia sio lazima wote tupateHongera kwao,acha wengine tuendelee kupambana na kitaaa
Kuna mtu niliongea nae yupo CCP kozi ins week ya jtatu sasaCCP leo mafunzo yameanza rasmiView attachment 2030446
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Sijajua ila kwa habari za leo jeshi la polisi ndio limefungua mafunzo rasmi leo tarehe 2Kuna mtu niliongea nae yupo CCP kozi ins week ya jtatu sasa
Dah vyeti vinashida gani kakaMumesikia ccp wengine 200 wamerudishwa sababu ya vyeti vyao havjakaa vizuri vnakasoro kumbe usaili hapa ulikuwa ujaishia hapa mpaka kule uliendelea ndyo washkaji wamerudi juz
DuuuhMumesikia ccp wengine 200 wamerudishwa sababu ya vyeti vyao havjakaa vizuri vnakasoro kumbe usaili hapa ulikuwa ujaishia hapa mpaka kule uliendelea ndyo washkaji wamerudi juz
Mumesikia ccp wengine 200 wamerudishwa sababu ya vyeti vyao havjakaa vizuri vnakasoro kumbe usaili hapa ulikuwa ujaishia hapa mpaka kule uliendelea ndyo washkaji wamerudi juz
Havijakaa vizur GPA ama? Au nn haswa au walifaulu sanaDuuuh
Bro natamani kusikia ukitoa kauli kuhusu waliokuwa maaskari wa Jwtz waliokamatwa na kesi ya Ugaidi apo mahakama Division ya uhujumu uchumu je jeshi lililizia wale Ex-soldiers wake wawe treated vile na Police?Heee watu 200
Wamefoji vyeti au wamefanyaje mkuu ?Mumesikia ccp wengine 200 wamerudishwa sababu ya vyeti vyao havjakaa vizuri vnakasoro kumbe usaili hapa ulikuwa ujaishia hapa mpaka kule uliendelea ndyo washkaji wamerudi juz
Wakuu jwtz vp
Tetesi za January vpDah mzee jwtz wametuacha kwenye mataa hakueleweki kabisaa yan mzee
Jeshi sio shirika la utangazaji la taifaDah mzee jwtz wametuacha kwenye mataa hakueleweki kabisaa yan mzee
[emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ila uwa wanatangaza kwa watu special tu mwaka 2018 walitangaza ajira mbona lkn wale ni special ila kwa RTS awatangaza hata iweje...Jeshi sio shirika la utangazaji la taifa
Kwahiyo mkuu wanaweza kuchukua kimy kmy[emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ila uwa wanatangaza kwa watu special tu mwaka 2018 walitangaza ajira mbona lkn wale ni special ila kwa RTS awatangaza hata iweje...
Watu walishachukuliwa wapo kozi sahivi kama ulikuwa unasubiria sahau hiyoWakuu jwtz vp