Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ubaya unakuja unaitwa usaili dodoma alafu unakuja kutemwa dk za mwisho Kabisa baba kantuma wanaletwa
 
Ubaya unakuja unaitwa usaili dodoma alafu unakuja kutemwa dk za mwisho Kabisa baba kantuma wanaletwa
Daah hapa ndio pananivunja moyo na nikikumbuka na kuna kuchoma nauli bora ingefanyiwa wilayani na kuna ya mkoani kama walivyofanya awali
 
Asante mkuu..
na kwenye heading naandika maombi ya nafasi ya kazi ya konstebo ya uhamiaji tu au naspecify kabisa fani nilionayo mfano mhandisi ujenzi.
Mkuu fani yako n added advantage ajira n konstebo wa uhamiaji usichanganye mambo

YAH: MAOMBI YA AJIRA YA KONSTEBO WA JESHI LA UHAMIAJI.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu fani yako n added advantage ajira n konstebo wa uhamiaji usichanganye mambo

YAH: MAOMBI YA AJIRA YA KONSTEBO WA JESHI LA UHAMIAJI.

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app

Ukisema added advantage unakosea mkuu

Andika hivi..,

YAH:OMBI LA KUJIUNGA NA JESHI IDARA YA UHAMIAJI KWA FANI YA AFISA TABIBU(*nimetoa Mfano wa fani)*

Ko utaandika hio fani yako hapo [emoji3516][emoji3516]
 
Back
Top Bottom