Phack Soloka
Member
- Jul 11, 2015
- 26
- 31
Nimeona Tangazo Lao limesisitiza Sana Jkt/Jku,Tusiopita jkt vp kuomba uhamiaji tusijisumbue tena au?
Sijaona Wale Wenzangu wa Others
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona Tangazo Lao limesisitiza Sana Jkt/Jku,Tusiopita jkt vp kuomba uhamiaji tusijisumbue tena au?
Kvp mkuu inamaana yupo kazini sector hiyo hiyo ya majeshi au wale waajiriwa professional kama ma doctorYupo kazin
Hawa madogo hata kozi hawajamaliza bado wamepigiwa pande la connectionMaana yake yuko kozi ya jkt kambini
Mhh... Probably!!! Mana hata uhamiaji walishakuaga watu, lkn saiv wanachukua tena..... Anyways.. Lets waitIla nimepata ronja kuna intake nyengine ya magereza watakuja kutaka watu Sababu watu wengi wameshakwenda upolisi
Sina mtaji acha nikomae mjiniTwendeni shambani tukalime.
Je wew unalimaTwendeni shambani tukalime.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Twendeni shambani tukalime.
Ndio watakuja mtaani ?Baaada ya usaili wa tpdf kitaeleweka tu
Mbanga ni nini?Mwezi huu kuna rafkng kaenda sema alikuwa na mbanga
Mtu wa kukushika mkonoMbanga ni nini?
ConnectionMbanga ni nini?