Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ila nimepata ronja kuna intake nyengine ya magereza watakuja kutaka watu Sababu watu wengi wameshakwenda upolisi
na jwtz ..msata
 
Ila nimepata ronja kuna intake nyengine ya magereza watakuja kutaka watu Sababu watu wengi wameshakwenda upolisi
Mhh... Probably!!! Mana hata uhamiaji walishakuaga watu, lkn saiv wanachukua tena..... Anyways.. Lets wait
 
Taarifa kwa umma ..kushare Ni kujali watafutaji wenzanguView attachment 2083075
Image_1642309539.jpg
 
Back
Top Bottom